Death came to a guy and said, "My friend, today is your day!"
The guy said, "But I'm not ready!"
Then death said, "Well, your name is the next on my list...."
Guy: "Okay, then why don't you...
MALIZIA MISEMO IFUATAYO
(1)Utamu wa kazi ni "PESA"
(2)Utamu wa usingizi ni "NDOTO"
(3)utamu wa FACEBOOK ni..........
(4)Utamu wa mapenzi ni..................
(5)toa na wewe ya kwako............
Wandg namshukuru sana Mungu kwa siku nyngine ya Pekee sana ambayo ni siku ya leo Tar 12/12/2012 ambayo
ni siku ya kuzaliwa/ BIRTHDAY
nina furaha sana Mungu kunipa Pumzi tena!
Na naomba anipe...
Yaani dada zangu kwa hii story ifuatayo mwenzenu amecheza chini ya kiwango..
Mkazi mmoja wa Buza kwa Lulenge (Yombo) anaeitwa Mustapha Mchele amemuua mwanae kwa kumcharaza mapanga baada ya mama...
Mimi mwanachitchat mwenzenu yapata mwezi huu nasumbuana na supermoderator Invisible anipe ruhusa kuingia hilo jukwaa ila Invisible kaweka pamba masikioni na mbaya zaidi hanipi sababu.
Kwa hiyo...
Umofia kwenu ila mie sio m-nigeria kama Bujibuji mwingine
Na wala sio old kama Nyani Ngabu mwingine hata hivyo sio
Njuka kama kisoda mwengine natema ujumbe lakini simzidi AshaDii mwingine...
Mganga wa tausi ni KA... Kalumanzila La.... Lala salama Ma.... Mama mzazi Zi.... Zizi la ng'ombe Mbe.... Mbele ya nyumba Mba.... Mbali na wewe We...............
Du nimesahau muendekezo...
Unaingia Hotelini au Mkahawani na unaagiza supu ya nyama ya ng'ombe.Ukiwa umekaa huku ukisubiri hiyo supu mara anakuja muhudumu na kuuliza nani ng'ombe?Utasemaje?
binafsi huwa nafikiri kuwa katika matatizo yote duniani theluthi mbili tunayo afrika.tatizo la usafir n sehem ya theluthi hiyo mbili.mataifa ya magharibi na mashariki ya kati huwa na theluthi moja...
Today is tripple twelve 12/12/12/, may i wish u good morning in this fantastic day which will never exist and happened again in our life.
GOOD DAY AND BE BLESSED ALWAYS...chit- chat family.
Kuna jamaa mmoja mshamba kipindi kile cha ujio wa chupi za V.I.P ,alinunua chupi saba za rangi mbalimbali ili kuwaonyesha watu kwamba amenunua chupi mpya.Ili kujionyesha kama anachupi mpya alivaa...
Miaka kadhaa iliyopita uliletwa hapa ulimwenguni. Mungu alikuwa na kusudi lake kukuleta ulimwenguni. Hakika inafurahsha na kutia moyo. Sasa ni wakati wa kumshukuru Mungu kwa kukuteua kuendelea...
hi jf members!
heading hapo juu inajieleza, nakumbuka mwaka jana father x-mas kipindi kama hiki alikuwa anagawa sana zawadi za x- mas.......kwa mliopokea nadhan mnakumbuka!!!
Nashangaa sasa hv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.