Dear friends Baba V naumwa balaa, ni mwendo wa malaria feat. Typhoid, pray for me brothers and sisters!,ni siku ya tatu leo nipo kwa kitanda, all i can do ni kuingia Jf via my mchina
1. kama A = B na B = C basi A = C
2. Ng'ombe wote wanakula majani, Tembo anakula majani, kwa hiyo Tembo ni N'gombe.
3. 'CCM ndiyo iliyoshika hatamu Tanzania' according to Y. Makamba...
JF is so interesting, never got bored by it. have been a member for quiet some time now,lakini leo nimeona nipost kwa mara ya kwanza. salaam to u all JF members.
Ndoa hii imekuwa na migogoro isiyoisha ikiwa ni sweetylady kutolala nyumbani mara kwa mara, kuzuzuka na akina Filipo muuza maji Nimekuwa nikipokea shutuma nyingi kuzini nje ya ndoa.
Mgogoro huu...
Na log in. Mara chache sana humu Jf, mara nyingi napenda kua mtazamaji namaanisha guest. Hi kitu cjui ni leo tu au cku zote, kwa haraka haraka nimekutana na thread kama 4 au 3 zina husiana na...
A wife was making a breakfast of
fried eggs
for her husband.
Suddenly, her husband came
into the kitchen.
Careful!.. he said, Careful! Put
in some
more oil! Oh my GOD! You're
cooking too
many at...
Hivi inakuaje pale mtu anamuaribia mwenzie kazi tena mtu ambae ana familia yake ambayo inaangaria kilekile kidogo mtu huyo anachokipata!Sasa kuna jamaa yeye zake ni kuaribu tu riziki za wenzake...
baba: yaan nyie watoto wa siku hizi siwaelewi kabisa, sijui mna matatizo gan,!
mtoto:kwa nini baba?
baba:kila kitu google, mkiulizwa kitu kidogo tu mnakimbilia ku google, ni kwa nini?
mtoto:ngoja...
Nalipenda hili jukwaa muda mrefu ila nilikuwa nawaogopa wanaume wa humu.
Naona kama vile mko Pea na wake zenu.
charminglady & @C6
sweetlady & nitonye
Madame B & Chimbuvu
watu8 & measkron...
Husika na hapo juu.
Mfano:Madame B shemeji tuletee Nyuma Mbili tulie Mayai,Tunaharaka kidogo.
Ukisema Madame B tuletee Umma mbili...
Haileti Maana kabisa.
Wataalamu watatuambia.
Eti mume na mke waligombana, mwanamke akakukusanya nguo zake kwa lengo la kuondoka: Mume akuuliza' unaenda wapi? Mke akajibu "ninakwenda kwa mama yangu." baada ya kusikia hivyo mume naye akaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.