Ashukuriwe Mungu muumba.
Eti ukitaka kujua uimara wa mwanamke kwenye nyumba ni pale UCHUMI UTAKAPOYUMBA kunako nyumba. Wababa wengi eti wakati huu wa mdororo wa uchumi wa Familia tunakuwa wadogo...
Kuna Kampuni moja ilimuajiri mlinzi kipofu.Mashariti ya kupita katika geti la Kampuni ni lazima uwe kipara. Unapotaka kupita yule mlinzi anakupapasa kichwa ILI KUHAKIKISHA KWAMBA WEWE NI...
Katika nyumba nyingi sana-hebu chunguza au jaribu kukumbuka-kuna hii tabia ya wakazi wa kwenye nyumba hizo kutumia mlango wa nyuma/jikoni wa nyumba wanapoingia ndani badala ule wa mbele ambao...
Kwa mliomkosa kumuona mama Tunu Pinda, baada ya kuimba imba kipogoro chake cha Uponera, eti akaishia kuwaambia wanawake wenzake kwa kusema 'Nilikuwa natambika sina lolote', na jinsi hiyo tv ya...
Ticha katoa assignment madogo
wachore mchoro wowote mzuri
kwenye karatasi nyeupe. Baada ya
dakika 6 dogo mmoja akasimama
kumpelekea ticha karatasi
kwamba kamaliza. ticha kucheki
akaona...
Jamani salamu kwenu.
Naomba mwongozo kutoka kwa wadau wote, kuna swali nimeliona mahali liko hvi
WAKATI MTOTO ANAZALIWA WA SURA TOFAUTI NA WEWE YAANI WA NJE YA NDOA BABA ULIKUWA WAPI?
Hili...
Kama vijana wa taifa hili ndo wanavyotumia simu zao, basi simu hazifai; wengine wanazitumia kuweka picha kwenye blog zao SIKU NZIMA, wengine wawasiliana na wapenzi wao SIKU NZIMA, wengine...
Ndio, mida yao sasa ivi' wengine wapo landmark hotel' wengine mabanzini guest house' wengine nyumbani' wengine kwenye ma hostel' wengine ma ghetoni' wengine wanamalizia mabao mawili ya mwisho' na...
Msiba uko Mbagala, au Gongo la Mboto, watafanya kila nia waje wazike kwenye makaburi ya kinondoni.
Je makaburi ya Kinondoni yana nini special?
Au Kinondoni ndio kuna geti la kwendea MBINGUNI? Au...
Dear Nyerere enzi zako ulikua rais peke yako nchini siku hizi wako kibao , kna mpka rais wa mateja,wasafi, masharobaro,,,,,,,,,,,shusheni na zenuu hepi independensiiiii:israel:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.