Neno la leo linatoka katika kitabu Kitakatifu kilichoandikwa na nabii Yeremia 17: 5-8, nalo lasema hivi:-
5. Bwana asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa...
Nimeiweka hapa ili wale wenye tabia ya kuchakachua waache.
==========
Death came to a guy and said, my friend today is your day". The guy said, "but I am not ready". Death said, "Well you are...
Jamani humu ndani nani ameshawah kukutana na Viroja vya mtu mwenye kwato kama za ng'ombe atueleze ilikuaje..? Nimewahi kusikia Madereva tax huwa wanakumbana sana na hii mambo. Au ni uzushi???
Ilikuwa ni majira ya saa tano usiku last weekend kikosi chetu maalum cha investigative journalism kilipotinga 'leo tupo hapa pub' kufuatilia nyendo za wana chichat waliojumuika pale kula...
Hivi ni ushamba wangu au
ushorolilo wa hawa jamaa?
Unakuta mtu anaongea na
simu, namna alivyoweka simu
sikioni ndivyo sivyo. Yani
ameigeuza, sehemu ya nyuma ya simu ndio kaibandika sikioni...
iki kizungu kama hatukielewi ni bora tukae kimya tu
Jamaa anamwambia mzungu ugumu wakupanda mlima kilimanjaro
"sir to plan a mountain kilimanjaro is not president job"
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. wale watu wa R Chuga waliosema haitowezekana wana JF kukutana, "Leo Tupo Hapa Pub" imewakutanisha wana JF na sasa tunasongesha mpaka majogoo...
Hapa kuna Madame B...
Fellows, nna furaha leo ni kumbukumbu ya harusi ya baba na mama don mangi, like 30 years ago, nina furaha na kila sababu ya kumshukuru Mungu.
I grab this opportunity to thank God and to toast for...
Classic:-
Direct translation from swahili to english
1.wacha mchezo-Leave sports
2.Mimi si mtu hivi hivi-Am not a person like this like this
3.Siku moja nitakutembelea-One day i will walk on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.