JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimekutana nayo jana, kwenye daladala kuna konda wawili mmoja anachukua hela na mwingine anaita abiria.sasa mtu akitaka kushuka mkusanya hela anamwambia anamwambia yule muitaji shusha kituo flani...
0 Reactions
4 Replies
938 Views
Bi dada King'asti hebu nieleze, hivi wewe unavutaga cha wapi ili kuweka uso wa mbuzi kabla hujafunguka? Kuna issue nyingine kabla ya kufunguka inabidi ulanduke kwanza, hebu leta maushauri ili...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Wakuu niliowataja hapo(Ritz,Prety na Mamndenyi) mimi nipo maeneo ya Ubungo,Plz alie karibu just to chat live eee!
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeona nami nitaje majina ya wanaume /vijana maana wanaume wamezidi kutuchambua kama karanga wenzao nami nimeingia katika kona hii nitaje baadhi tu ya majina yanayofahamika ya wanaume 1. vidume...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mwalimu wa Historia Mwl:Eeehe! Nam Alimuua Chifu Mkwawa? Mwnafunz wa 1:Aka sio mimi Mwanafunzi wa 2:Wallah Sihusiki Mwanafunzi wa 3:Kwanza jana ckuja. shule, Mwlimualipoona Wanafunz Wote ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mwizi mmoja alikuwa anavunja dirisha katika mojawapo ya chumba cha mpangaji m1 katika nyumba yenye wapangaji wengi. Bahati mbaya alikamatwa kabla ya kutimiza adhma yake. Wapangaji wakaamua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dah kweli mabinti wana kazi,wamepewa majina kibao 1.mademu 2.mashori 3.mivinje 4.watoto 5.kishtobe 6................... Na wewe tupia hapo
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani nimeshavishwa pete na nilikosa...
5 Reactions
90 Replies
4K Views
Teacher:2 books +2 books? Dent:That would be 4 books. Teacher:"Now,I'll ask u a tough one! 78,365 books+23,678 books? Dent:LIBRARY! Ha ha haaa
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Woyooooo! Mwana kijiji nime ingia mjini leohii hasubuhi jamani nina mapene kibao na weza kumnunua mcharuko, ciello, zinduna,madame B na vinchenchede vingi vyote vilivyo kuwemo humo.tatizo siijui...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Habarini wadau!! Chanzo makini kabisa cha habari kimeweka wazi miss Chit-Chat wa mwezi November Ciello,kutoa hongo kwa Lundenga wetu Ruhazwe JR,ili mashindano ya Chit-Chat ya mwezi december...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Hasa kipindi hiki chenye wanene kibao wa nchi jirani wanaojiita SADC... Kama wadau wa hapo bongo mmeanza kuliekspiriensi,mtupe joto lake..
0 Reactions
4 Replies
819 Views
Mawazo ya nini Madame B? Nani kakutenda?
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mwalimu:Jina lako nani? Mwanafunzi:Naitwa HILIKU. Mwalimu:Baba yako anaitwa nani? Mwanafunzi:Anaitwa MABAYA. Jee ukichnganya majina haya utayasoma vipi?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Helloooow!! Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!! Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi...
1 Reactions
257 Replies
10K Views
Nimetumwa na chama-CCM na Serikali. 'Kudeal' na mihela ya Wazito ile ya Zitto.Nitakosekana humu kwa majuma kadhaa. Tuombeane. Mkimuona Cacico,mwambieni nakumbuka maagizo yake. Mbaki salama!
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Nipo kwenye Gari naelekea town nimetoka kimara. Nimekaa siti ya karibu na kondakta toka kimara nilikuwa natafakari kati ya hawa watu wawili nani ikifika jioni huwa anachoka zaidi. Nikiangalia...
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Kwa wale waliozaliwa kabla ya kuwa Tanzania nawatakia " happy anniversary" ya miaka 51 ya kuzaliwa pamoja na kupata uhuru wa Tanganyika na nyote mliozaliwa Tanzania kila mmoja kwa miaka yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
One Friday morning, John woke up hurriedly and prepared for work. He worked in a busy institution and was expected early at work. His wife worked a distance from where her husband's office was...
0 Reactions
5 Replies
695 Views
SHERIA MPYA ZA BARABARANI:- 1. Ni Marufuku Vits ku'ovateki /kupita Range Rover - Faini Tsh. 500,000 or Kifungo cha Maisha. 2. Kama Honi yako haifanyi kazi, gari lako litauzwa kwa mnada inunuliwe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom