JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Usiku umetoweka na jua limechomoza, kuashiria kwamba tunaianza siku mpya ya tarehe 6/12/2012 ambayo ndiyo siku aliyozaliwa kaka yetu, mjomba wetu, shemeji yetu, rafiki yetu na mwana JF mwenzetu...
6 Reactions
46 Replies
6K Views
Hay best zangu wa jf Pokeeni zawadi ya xmass nimewatumia kwa furaha na upendo wangu wote. haya kingeni mikono miwili mpokeee jamani kama mtaitaji niwatumie mengi mtaniambia...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
asilimia kubwa wanaoteremka kwenye fastjet wanaulizia usafiri wa bodaboda uko wap,punde tu wanapoteremka,sababu bei ya teksi inazidi nauli waliyotumia kwenye ndege
0 Reactions
5 Replies
2K Views
..Tu duuu....tunaweza kwenda HOME tukachill tuuu...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
habari zenu wanajf wa arusha... mie mwenzenu natia mguu arusha this wikend na ningependa wana wa hapo a town mnipe data za wapi nitapata raha ya ukweli...utamu. na nytclub gani niweza pata wale...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Ousofia 01:59 Today By Kipipi: Chuki ni bureee! Nakupenda kipipi mi sikuchukii hun Edit Reply Report Post Ousofia 04:24 Today Dah coment ya mwisho kuhusu kipipi si mimi kuna mtu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
JOHN:Kitendawili JAMES:Tega JOHN:Mbele unakata nyuma unatiwa vidole.. JAMES:Msumeno. JOHN:Umekosea,nipe mji. JAMES:Nenda TANGA. JOHN:Ukisikia mbele unakata nyuma unatiwa vidole jibu lake ni mkasi.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mh
1.Mwalimu JK Nyerere-uchumi tunao,tumeukalia 2.Jk-Ukitaka kula vya wenzio,na wewe sharti uliwe 3.Fraco lwambo makiadi-Nyerere Mobutu kumakuma(Nyerere na mobutu kitu kimoja) 4.Ally hasan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nini hamnipendi! nikichangia mada mnanitoa nduki! ni oppose motion ndio balaa! jamani basi kama nimewakosea naomba poo!
0 Reactions
61 Replies
3K Views
Girl:unavuta sigara? Boy:navuta Girl:umevuta kwa miaka ngapi sasa? Boy:miaka 10 Girl:kwa siku unavuta pakti ngapi? Boy:3 Girl:pakti moja shilingi ngapi? Boy:sh 600 Girl:kwahiyo siku 1...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari..kama jibu ndiyo..na upo maeneo ya ubungo...jongea eneo la ubungo ingia stand ya Daladala..nyoosha mpaka sehemu wanayopaki Magari ya Gongo la mboto...ukifika hapo Nipm...
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Majambazi walivamia kanisan, wakaanza kufunga milango na madirisha. Wakawaambia waumini kwamba watauwa kila mtu ila kwa kufuatana na herufi ya jina lako. Wakaanza na mchungaji unaitwa nani...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Soma nmaneno haya haraka haraka. Kuna kazi ya kutoambwa kwa wanawake tu. Asubuhi unatoambwa,mchana unatoambwa na jioni untaombwa. Mshahara ni maelewano Jee utaiweza?Tahadhari mbwa mwenyewe ni mkali!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wizi mtupuuuuuuuuuuuuuuuuu! Simu Iliita... MUME: Hello baby! MKE: Hello Sweetie! MUME: Leo nitachelewa kurudi... MKE: Nishajua uko kwa vijanamke vyako, wewe ni malaya sana...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
1.chakula, 2.mahali pa kulala na 3.kuvuka barabara. Tupia mengine kama yapo.... Twende kazi sasa
1 Reactions
19 Replies
3K Views
ZAXXON LTD is a leading supplier of high-end products to customers, we deal primarily in genuine and brand new electronics, all items are sourced directly from the manufacturers and carry the...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
....maana hata mbwa wanaweza. Soma/angalia hapa BBC News - Driving school for dogs in New Zealand
0 Reactions
0 Replies
862 Views
A guy stuck his head into a barber's shop and asked, "How long before I can get a haircut?" The barber looked around the shop full of customers and said,"About 2 hours." The guy left. A...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom