JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
IDD = mdokozi, jeuri, mbishi... Tausi = mchoyo, maringo Masanja = Kupenda wanawake sana Masawe = Tapeli Lutashobya = Majivuno, kiburi Asha, Mariam,Neema = Ngono
0 Reactions
51 Replies
9K Views
wakuu na waheshimiwa wa chit chat, kwenu.... yaaa jamani mie leo napendekeza tupendekeze vijiwe au sehemu ambazo twaweza kuwa hapo na kufurahia mechi za pamoja mie ningependekeza kwenye...
0 Reactions
47 Replies
2K Views
Mzee kutoka shamba kaibiwa pesa kwenye daladala k'koo - mbezi.Mzee katoa tangazo '' tafadhali aliyechukua hela yangu arudishe haraka kabla sijafanya tukio la mwaka 78'' Mwizi kusikia hivo jasho...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Mungu wetu atusaidie sana maana kifo ki karibu ye2 Ni vigumu kuamini lakini inatubidi kusadiki Baada ya kusadiki ya kwamba tunapoteza watu muhimu na vijana zaidi tangu mwaka kuanza maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
hiki chakula hata sikielewi...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Morning pipoz!!!!! Nilipoanza kazi kampuni A hakuna aliyeshangaa zaidi ya kunipa hongera... Kampuni nzuri yenye hadhi yake, ila siku nilipoacha na kuhamia Kampuni B kila mtu aliniona kama vile...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
A herd of buffalo can move only as fast as the slowest buffalo. When the herd is hunted, it is the slowest and weakest ones at the back that are killed first. This natural selection is good for...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
MCHUNGAJI: Bwana asifiweeeee! WAUMINI: Ameeeeeeeeeni! MCHUNGAJI: Tafadhalini washarika sasa tuchukue iPad, tablet PC, simu na kindle zetu ili tufungue 1 Wakorintho 13:13. Pia washeni...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
... sote ni njia yetu. RIP Sharo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habhari yenu Bhana Nimekuja rasmi kutoa ufafanuzi juu ya mashindano yetu amabyo huwa yanaendele hapa chit-chat. Hii imetokana na maoni ambayo yamekua yanatolewa na member kadhaa hapa CC. NINI...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Kuna demu alicmamishwa na jamaa akaanza kumuuliza maswal,binti c akaleta swagger za DNA:Una maswal mengi kwani we ni polisi?jamaa akamjibu:una chunusi nying kwan we ni fenesi.?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sijapendezwa na tabia za wasanii wa bongo movie kabisa hasa wa kike. Nadhani watanzania wenzangu mtaungana na mimi kwa asilimia zote. Nawasihii wabadilike kwani kwa tabia zao hawatafika popote.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Naombeni majibu,juu ya weekend Mliokwenda klabu,na ndoa mkadefend Mkaiepuka aibu,mkaibuka washindi Mlifanyaje? Watu walilewa,wakafanyiwa mbaya Na pombe wakazidiwa,wakazichota haya Kwa lazima...
0 Reactions
2 Replies
587 Views
nyie wana chit chat mnalalaje sa mbili kwani nyie kuku? wakeup guys njooni ihapa makumbusho tukamate ngwasuma,dadadake bishanga niko ncwhwiii kwa mbaaaaaali namwona Invisible yuko na Madam B...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Tafsiri ya Moshi! M-Mungu O-Onyesha S-Sehemu H-Hela I-Ilipo. Wachago hoyeee!
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Ebu ona raha iliyoje kwa huyu mtoto kuwa na mama mwenye umbo zuri kumuwezesha kusimama kwa raha ili kuona nini kinaendelea huko mbele. Jamani nani kama mama??
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nokia Asha jamani ni shs ngapi huko madukani? anyone anayejua?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeishi Mikocheni na Msasani kwa miaka mingi, lakini sikubahatika kumsikia msichana akiitwa Chausiku au Havijawa. Sana sana niliwajua kina Karen, jacquline, Linah, nk. Kwanini kuwepo tofauti...
0 Reactions
52 Replies
10K Views
Jamaa mmoja ambaye alikuwa anafanya kazi ya kondakta ndani ya daladala ziendazo pwani alipata aibu ya aina yake pale alipokuwa ameuchapa usingizi wakati alipokuwa kazini mambo yalikuwa hivi:-...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
............
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Back
Top Bottom