SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII!
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa...
MARRY CHRISTMAS!
Uongozi wa Jf nikianza na "Founder" SALUTEE,
Mods,
Viranja wa majukwaa yote ya Jf bila kumsahau
"Monter" WA CHIT-CHAT.
(jina nahifadhi kutokana na sababu za kiusalama...
Wakuu itakuwa sio vibaya tukikumbushia enzi hizo mara yako ya kwanza kwenda dukani or pharmacy kununua kinga, puto a.k.a c*ndom, ilikuwakuwaje. Mie nakumbuka nilipiga hodi dukani zaidi ya mara...
MKWE:yaaani unakuja kuposa binti yangu huku unatafuna big G?
JAMAA:Mdomo wangu
unanuka nilivuta sigara
MWE:na sigara unavuta?
JAMAA:Nilivuta jana
nilipokunywa pombe wkt niko club
MKWE:eeeeh...
habari ya jumapili?
hapa home kuna miti na maua... pamekuwa kuvutio kikubwa kwa ndege (birds) sasa cha kushangaza na kilichonifanya niandike huu uzi ni kwamba kuna vindege flan vidogo vinapenda...
Mdau nafahamu katika kutafuta kazi kuna mambo mengi ya narandana hebu sema wewe wakati unatafuata kazi ilikuwaje na ni maswahibu gani ulikutana nayo??
Je ulifanyeje kupata kazi?
Hii itakuwa kati ya walevi na masober wa humu Chit-Chat (kama wapo).
Mimi binafsi nitakuwa Team Alcoholic na nitacheza siku hiyo... So far nawatambua rasmi Kaizer, Madame B na Asprin kama...
Bhana eee kila nikiingia chitchat nakutana na story za malovee sasa sijui kuna watu wanapigwa BAN kimajukwaa au??
Hizi stor zilitakiwa ziwepo jukwaa la MMU lakini zimejazana humu sasa nawaomba...
Jamani mwenzenu naugua kabisa siku ikipita bila kula hata karanga moja kwani ugonjwa unazidi nakuwa kama teja kwa karanga hasa zile mbichi ni noma kabisa, nakosa usingizi nikiizikosa karanga kwani...
1. Women live with greater vitality: "Girls just want to have fun" right? Women do enjoy life better than men and in general are healthier due in large part to the fact that women have a stronger...
Style mpya ya kutega girl akija ghetto hata kama ni mara yake kwanza.
Akiingia ndani we toka nje urudi ukiwa uchi wa mnyama hata bila boxer,hawezi kuchomoa.
Nimetumia na imefanya kazi 8 out 10.
ilikuwa ni ijumaa ya tarehe 24-11-2000, kipindi hicho nikiwa mwanafunzi wa Tosamaganga Iringa, siku hii tulifunga shule na kuruhusiwa kwenda makwetu baada ya kumaliza mtihani wa mwisho.
kwa hamu...
Wanajamvi kichwa cha habari chahusika.
Kwa nafasi yangu kama mwenyekiti wa Tume ya kuratibu mahusiano na ndoa hapa chit-chat nimefikia uamuzi kuchukua hatua tajwa hapo juu baada ya kubaini na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.