JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ukijaribu kuniweka pembeni,daima nitakukimbilia kukufuata ulipo zaidi ya Ruttashobolwa Chilli na tedo wanavyokukimbilia sa hv, ooh Madame B penzi lako ni tamu kama asali, ooh Madame B niambie...
3 Reactions
204 Replies
9K Views
Jamaa anapiga simu Makumbusho ya Taifa"Haloo,hapo ni Makumbusho ya Taifa?"OFISI:"N dio 2kusaidie nini?" JAMAA:"Ok,naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?"...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Brazameni mmoja mpaka pouda katoka zake jijini daslam na bonge la pikipiki kwenda kuliuza Mererani.Alipofika nalo,wanaume wakaliangalia na kulikagua then wakaona ni zuri litawafaa.Wakamwambia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nmejitahidi kumtambua macho ya Invisible lakini nmeshindwa. kila nikimuangalia ananikonyeza. naamin hapa jf kuna watu wanaweza kutambua jinsia ya mtu kwa kumuangalia macho, pua na hata masikio...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Your embarrasing moment?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ala,cheka sasa,sa unasubiri nini ???muone sura mbayaaa!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo weekend inaanza. Ratiba yako ikoje? Salama lakini utokako?
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana CC? Nimeona niungane nanyi kuwaeleza mpango wangu wa mwaka 2013! Kuna kero moja kubwa inanisumbua sana nilijitahidi kiuvumilia naona nimeshindwa mimi! Hili suala la michango ya harusi...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Barely a few hours after his appointment... a statement coming out of the Chelsea's Board Room says: : Rafa Benitez has been sacked as Chelsea manager for failing to win anything since taking...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Thanksgiving is not only about the turkey and the feast that follows, it is a quiet reflection of how God is showering His abundant blessings upon you. So thank Him with all your heart...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
TAHADHARI MATAPELI WAJA NA NJIA MPYA SASA Kuna dada mmoja anasoma chuo buguruni na pia ni mfanyakazi hivyo jioni akitoka kazini ndipo huenda shule.Sasa akiwa njiani kuelekea chuo akapigiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
mamboz.... hivi ile mboga ya majani inayoitwa "chinese" kwa kiswahili inaitwaje?????
1 Reactions
64 Replies
15K Views
Kuna mji mmoja walikuwa wanawaua wamakonde kwa sababu ya kuchafua lugha wakawa wanamuuliza kila mtu aseme neno then akikosea wanamua wakamuuliza jamaa wa kwanza,sema sahani jamaa akasema...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hivi unajua kuwa English ni lugha ya wanyama....Maan a Paka akiona unamcheleweshea maziwa anakwambia,"NOW ." Ng'ombe ukimpa majani akiwa hajashiba utamsikia akikwambia,"M0R E." Mbwa ukipita karibu...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Risala fupi ya marehem CCM: inaletwa kwenu na mimi Abuneri Mgaya Marehem CCM alizaliwa 05/02/1977. Enzi za uhai wake marehem alijishughulisha na kuua mazao ya biashara km...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Huku kweru Tarime sidhani kama dhana za ulinzi shirikishi au polisi jamii zinaaplai! Coz kwa mambo ya ulinzi tunajitegemea so hatuhitaji hata polisi; kama vipi Amir Jeshi angewaondoa tu kupunguza...
4 Reactions
8 Replies
811 Views
Sakata la Wagoni kunasiana sasa limekuja kivingine, na sasa maeneo ya magomeni kuna mwingine tena KANASA!!! SIMU imeganda kwenye SIKIO, alikuwa anaongea na MKE wa MTU hivi sasa yupo MUHIMBILI...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
HUWA NAJIULIZA SANA,TENA SANA HAPA NAPOISHI,, KWANINI JAMAA KILA ANAPOENDA TOILET HUWA INA MCHUKUA MDA MREFU SANA KUKAA HUKO? KILA ANAPOENDA KUITIKIA WITO MKUBWA i.e haja kubwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom