Sikuwa na Mchezo baada ya kumaliza shughuli zangu Kariakoo...niliamua kutembea kutoka K/koo mpaka kimara Mwisho....muda niliotumia ni Saa limoja na dakika 15....
...fitest for the fist...
Darasani kwetu alikuwepo mwanafunzi ambaye kwa kweli alikuwa mkali sana kwa masomo mengine yote isipokuwa Kemia. Ilipofika somo la Kemia yeye ndiyo ulikuwa muda wake wa kulala darasani. Siku moja...
Jamaa amelala had Asubuh..
Kuamka akaenda had bafun kupiga Mswak c akijiangalia kwny kioo
kujichek vzr c akajikuta amekufa
ikabd harud kulala thn await ndg zake waje wamzike
just smile
habarini za leo ndugu zangu!
leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa...
Nimechoka na pressure toka kila kona wakuu,kila kukicha unazeeka ,unazeeka na nikiuliza nazeeka kivipi wananiambia mpaka leo hujaoa tu bado unasubiri nini..??Au unataka wanao waje kukuita...
....Tafadhari jamani nasikia vidonge tajwa hapo juu vimeingia mjini hapa....mvitafute wale wenye Matatizo na kupenda kuwa na nyumba ndogo......
Jamani vidonge hvyo vidonge mnakunywa wote yaani...
The lawyer hopes you get into trouble...
The Doctor hopes you fall ill...
The Police hope you become a criminal...
The teacher hopes you are born stupid...
The coffin maker wants you dead...
..Mi nimetoka Mazoezi nilianza Saa kumi kamili...mpaka saa kumi na Moja...ndo natoka kwenda kituoni kupanda daladala kuelekea posta...
Dar huu mji haufai unafaa...swala kuwah kuamka halina...
Universal tanzanian jokes
SIJUI KAMA SIKU HIZI IPO HII!
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa
'rangi mbili'
5. Kupamba...
Nilipanga mbegu DECI kama milioni nne hivi,kufikia leo sijui ningevuna ngapi jamaani, dah si bora ningeweka heshima TBL nikachangia pato la taifa, roho inauma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.