Enzi zetu mwanafunzi wa sekondari lazima uwe na daftari lenye nyimbo za akina judy boucher, pamela nkuta, mc hammer, bob marley ivonne chaka chaka nk, na ukikaribia miezi ya mwisho kidato cha nne...
JAMAA kaingia bar kwa fujo...JAMAA:lete bia hapa na kila m2 humu ndani mpe bia yake maana napokunywa bia nataka kila mtu anywe bia.
WATU:Ha ha ha ha!!.wakapewa bia
JAMAA:Lete mchemsho hapa na...
Omama,nakufa men,sijapenda
men bado naipenda dunia
men..izraeli usiniguse men
unanichafua men... oma gad...
Ndo maneno aliyetoa sharo kabla
ya kukata roho yake.
Hakuna marafiki wa kweli kama ******.Kwani ****** yanavaa chupi moja.****** yanachapwa fimbo moja.Yanakalia kiti kimoja.Jee kuna marafiki wa kweli zaidi ya ******?Jamba kidogo basi ili...
Kuna mwendawazimu mmoja mwanaume alikuwa akitembea barabarani na panga mkononi huku aliwa hana nguo na (yaani yuko uchi wa kuzaliwa) na kichwani hana nywele ni kipara.Lakini hajanyoa...
Jamaa mmoja alipita pembeni ya ukuta wa jela ya machizi, ghafla akasikia wale machizi kwa ndani wakishangilia kwa kuhesabu '12....12....12....12'. Jamaa akatamani aone kinachoshangiliwa humo...
Mchungaj: Nasema pepo toka katika jina
la Yesu!
Pepo: sitoki!!!
Mchungaji: shindwa pepo! Toka na
mwache huyu mtumishi wa Mungu!
Pepo: sitoki. Nimemwingia huyu mtu ili
ashinde bahati nasibu...
Nyumba ya Juma na mkewe Siwema ilivamiwa
na majambaz,baada ya kuiba yakapanga
kuwaua wote,ila kabla ya kuua, yaliamua
kuwauliza maswal:
JAMBAZI:"we mwanamke unaitwa nan?"
SIWEMA:"Mm naitwa...
Sikiliza mazungumzo haya hapa; MTOTO: "Mama hausigeli wetu ni malaika?"
MAMA: "Kwa nini?"
MTOTO: "Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi, mikono ameinua juu anaongea na Yesu anasema..'Ooh...
Kutokana na hasira nilizonazo, naomba Zinduna uandae msuto wa snowhite na FP pale Wantashi-Masaki
Dress code: Smart Casual
Vinywaji: Red Wine, White and Green Wine, Whisky, no biere
Music...
Wadau ni aje?
Viongozi wa hiyo show fanyeni mpango mamaaa midolari ya cristmass awepo mjengoni next week ili tujue mshiko tutaupata vipi?
Najua natalia akiwepo nitacheka ninenepe mimi maana...
Hellow CC
Binafsi nimeumizwa sana na huu msiba wa Sharobaro coz nilikuwa nampenda sana kuliko msanii yeyote nchini. Kwa kweli nimepoteza furaha yote..kifupi niko kwenye majonzi sana.
Naomba...
Kifo cha Sharo kimeniuma, kutoka moyoni angefariki walau Kinana, Abraham kuliko huyu jamaa ambae alikuwa anatusogezea siku kwa cheko na kutusahaulisha matatizo japo kwa muda mfupi.
Najua...
Ninapenda kumshukuru Mungu for a special day like this to me,kwa kuwa na uzima na afya njema.28th November ambapo nimetimiza miaka (kadhaa).na mwaka huu,birthday imenikuta mbali na home so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.