1.Je mnakumbuka timbwili za Mwalimu Singano na harakati zake za umwagiliaji matuta ya mchicha na Nyanya wakati wa asubuhi?.Sijui mwalimu yupo au amekwisha staafu?.
2.Je habari za summit na kwenda...
Kichaa mmoja alikuwa anatembea zipu ya suruali ipo wazi na huku kamshikilia mzee (m b o o ) akakutana na dokta
Dokta; mbona umemshikila mzee nje nje
Kichaa; kaishakufa huyu
Siku ya pili akirudia...
naitaj kujua kama wana jf chit chat utamruhusu mtoto wako agombee mashindano ya umiss na kama autoweza mruhusu ni kwa sababu zip,na ukimruhusu ni kwa sababu zip?
aya tiririkaa
Stori za mapenzi zimezidi ilhali mmu ipo. Simaanishi kinyume chake tulete stori za kugombana, laghasha! Ni changamoto tu kwamba tuwe wabunifu zaidi kwani kuna vitu vingine vingi vya kupost zaidi...
dear Jf friends and chitchatters,
ngoja niswitch language...
mmmmhh(naguna kuweka koo poa)
hope hamjambo marafiki wa jf na wanachichat kwa ujumla.
hatimae ni mwisho wa mwaka, sio wote...
Zuzu mmoja alinunua
gazeti,alipofika nyumbani tu
akaenda kuliweka ndani ya friji.
Mama yake aliyekuwa amekaa
sebuleni akashangaa
akamuuliza,"Mbona umeweka
gazeti ndani ya friji?"
Zuzu...
Wapenzi leo siku yangu imeisha vibaya kweli,baada ya kazi nikawa nimekumbuka song flan hivi la Westlife maaana mi ni
shabiki wao toka kitambo enzi za cost to cost hadi Lighthouse.Sasa hilo song...
Leo tutaleta lesson moja ambapo itasaidia kama chitchat kumjua mwandani wako ama rafiki na udhaifu wake ili mapenzi yenu ama urafiki udumu.
Kuna aina nne za personality
1.sanguine
ni watu...
Hakuna marafiki wa kweli kama makalio.Kwani makalio yanavaa chupi moja.makalio yanachapwa fimbo moja.Yanakalia kiti kimoja.Jee kuna marafiki wa kweli zaidi ya makalio?Jamba kidogo basi ili...
waungwana leo nimeingia kwenye daladala nikawa nimesimama mara akaingia mzee na mwanafunzi wasekondali kama watatu kutoka kituo kinachofuata. yule mzee akawauliza wale wanafunzi ilikuwa hivi :-...
A Year 5 teacher was giving her Primary pupils a lesson in developing logical thinking.
"This is the scene," said the teacher.
"A man is standing up in a boat in the middle of a river, fishing...
Kuna jamaa alinunua kifaa cha kukamulia ng'ombe maziwa, Kufika nyumbani akasema ngoja nikitesti,
Akakivaa kwenye UUME
Akawasha kikawa kinamtekenya mpaka mchizi akamwaga,
Sasa anaangalia...
On a Trotro going, from Circle to Nungua, after my evening lectures the phone of a girl sitting close to me rang, she picks it and said:
"Honey, I'm in a bus going to Koforidua for the...
Jamani wana chitchat,nimekutana na dada mmoja pale kwenye treni ya Mwakyembe,akanieleza anaitwa KOKUNYEGEZA Bishanga.Naomba kumuuliza ndugu Bishanga,kwamba huyu ni mwanae au ndio my waif wake.....!!!!
CHAT YA MWISHO YA SHARO MILONEA NA LINEX WAKIONGELEA MAMBO YA BARABARANI....
Huu ni ujumbe kutoka kwa marehemu baada ya ku chart na msanii wa Bongo Fleva hapa Tanzania aitwaye Linex Sunday.
A father put his three year old daughter to bed, told her a story listened to her prayer which she ended by saying: 'God bless Mommy, God bless Daddy, God bless Grandma, and good-bye Grandpa.'...
Juma alikuwa anajaribu kukwepa malipo baada ya kufanyiwa upasuaji wa macho kwa kusema bado haoni,
Daktari akamnong'oneza nesi avue nguo zote mbele yake;
JUMA: "Bado sioni"
Nesi akaamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.