JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baada ya kuiona sura ya mmakonde ikiwa na mikwaruzo kibao, mmasai akasema, 'rafikhi, mbona una mistari usoni? au chui ameparua wewe?.Mmakonde ?akamjibu, 'mbona we umekaa uchi toka arucha hadi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwalimu wa historia aliuliza swali wanafunzi. mwalimu;.hivi ni nani alimuua chifu mkwawa? mwanafunzi wa kwanza: sio mimi.... mwanafunzi wa pili: wala sihusiki..... mwanafunzi wa tatu: kwanza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtafutaji hachoki. akichoka kapata. we ll never give up untill kieleweke
0 Reactions
0 Replies
663 Views
What's the sweetest thing in this world? 1.kissing 2.eating chocolate 3.alcohol 4.smoking weed 5.sex 6.having money 7.falling in love 8.knowing GOD 9.getting married 10.having babies 11.having...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwenda kwa:kamati kuu ya mahusiano chitchat copy: Baba V, copy: Judgement Mamndenyi BADILI TABIA, yah:kutokua na imani na mwenyekiti wa mahusiano chitchat Baba V. Rejea...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
MzunguMandali katengwa na wana JF kutokana na tabia zake za kutafuta umaarufu kwa njia zisizo harali
0 Reactions
22 Replies
2K Views
  • Closed
Waganga wa kienyeji kweli ni wezi,Hanisi mmoja alikwenda kuomba dawa ili Mboo isimame,mganga akamwandikia WIMBO WA TAIFA akampatia. Jamaa akaulizia! Sasa hii ndiyo dawa? Mganga akamjibu,Wewe K...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Babu yako kabla ya kukata raha kakuita wewe Mjukuu wake ili akupe wosia huu.... "Mjukuu wangu kipenzi, Babu yako ndio naiaga Dunia, lakini kwenye hazina yangu kuna milioni 800 na hakuna yoyote...
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Kuna nini jamani? Nimekaa kwenye jam zaidi ya lisaa limoja Kati ya Serena hadi Palm Beach!!!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Rules goes thus: I will write a word and then you answer with the first word that comes into your head. An example is: I write - Sky You write - clouds The next person writes - Rain and so on.
0 Reactions
5 Replies
745 Views
nimekuta watu wanabishana sana kuhusu hili. mi kwa upande wangu sioni ubaya wowote zaidi naona faida tu. hebu fikiria mauaji ya Rwanda bila kuwekwa mitandaoni na magazetini watu wengine si...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nikiwa kwenye Mishe mishe zangu,Gafla nakutana na kundi la vijana 2 na wadada 3,wakijadili uaminifu katika mahusiano,Mchangiaji mmoja akasema wote si Ke Wala Me vicheche tu kasoro wale Wadada...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Kichwa cha habari kinahusika. Hapo jana tarehe 29/11/2012 Nilitoa tamko kuhusu uhusiano usiofaa cina ya Madame B na Chimbuvu na nikatoa maagizo ya nini wafanye wahusika kabla ya saa tano...
4 Reactions
145 Replies
6K Views
japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa...
1 Reactions
84 Replies
5K Views
Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
0 Reactions
27 Replies
3K Views
KWENDA KWA;SCREENING COMMITTEE The Boss Mamndenyi Ruhazwe JR COPY;mwenyekiti wa kuratibu mahusiano na ndoa chitchat 2012 Baba V COPY:@Arushaone Mamzalendo COPY:@judgement BADILI TABIA...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naona ndani ya wiki mbili thread za ndoto zimefululiza Chit-Chat,hadi jana wengine kuota vifo vya wenzao. Sasa nadhani ni wakati muafaka Chit-Chat tuanzishiwe sub-forum ya ndoto,ili wenye vipaji...
0 Reactions
4 Replies
834 Views
Hapo mwanzo Mungu alipoumba dunia akaitengeneza Ulaya na milima na barafu kali kila mwaka, Kisha akatengeneza Marikani nako akawatupia hali hiyo ya hewa ya kila mwaka kuwa katika msimu wa barafu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
hello, najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa. kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu...
2 Reactions
103 Replies
5K Views
Kama wengi walio faulu darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika JE WALIOFELI WAPOJE?
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Back
Top Bottom