JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku mbili zilizopita kuna mjamaa hapa alifukuzwa kazi. Siku aliokuwa anondoka kwenda makwao akkutana na mjamaa mwingine tunaye fanya nae kazi, huyo jamaa alikuwa amempa kadi ya mchango wa harusi...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni PM kama Unayo bei iwe chini ya 80,000/=
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau habari za usiku. Nimepokea sms hii kwenye simu yangu kupitia mtandao wa Airtel: "YOU HAVE WON 2 MILLION POUNDS IN THE FREE LOTTO UK MOBILE PROMO. FOR CLAIMS EMAIL US : freelt@wss-id.org...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
This time next week nitakuwa mjini naponda raha. Itinerary to follow
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwalimu wa Historia anawauliza wanafunzi wake Mwalimu: Eeenhe! Ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa? Mwanafunzi wa kwanza; Aka sio mimi! Mwanafunzi wa pili:Wallahi siyo mimi ati! Mwnafunzi wa tatu: Sio...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Mnaonaje muanze kujiandaa kuwa chama pinzani????????????
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeangalia mpira wa Sunderland na Norwich umenifurahisha sana! Ila nimeboreka na Sunderland, jezi zao zimeandikwa INVEST IN AFRIKA! Ndio maana wamefungwa manina zao!
0 Reactions
2 Replies
695 Views
Miaka mitatu iliyopita kuna mwanamke mmoja mfanya biashara, alifikia nyumbani kwetu akitokea kwenye biashara zake, alikuwa akifikia kwetu mara kwa mara kwani aliwahi kusoma chuo cha tiba na...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Baada ya kunyang'anywa kipenzi changu cha moyo Madame B na mkongoman Chimbuvu na baada ya mipango ya kujaribu ku win back penzi maridhawa la Madame B kushindikana, natangaza rasmi kwamba hivi sasa...
3 Reactions
74 Replies
4K Views
Nchini Rwanda kumeanzishwa GAZETI kila unapoisoma habari na kuimaliza HUFUTIKA,.nia ni kukomesha VISHOKA wa kuazima magazeti nao wakanunue hasa wa kwenye vyombo vya usafiri maarufu hapa kwetu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
kwann mabwashee ak (wachaga) wanapenda kurud kwao..?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.boy 2.girl 3.twin boys 4.twin girls 5.twin boy girl 6.triplets
0 Reactions
2 Replies
741 Views
Wakuu nipo singida for today and tommorow plz Any Jf member to give a company . Aqua Resort 2006 nipo at the moment.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
E bwana hii story ya sarah imenistua sana,kwa aliyefatilia vizuri ebu tujuzeni nimeikuta katikati.
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Unajua nakuthamini zaidi ya POSHO NA MSHAHARA bila wewe siwezi kuishi ni sawa nakukosa BUNDUKI eneo la tukio nitakuheshimu kama LINDO wewe ni IGP wa moyo wangu daima nitakuweka mbele kama CROWN...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
nahitaji kujuzwa warembo masingo waliopo humu.baada ya mbio zangu kwa elizabeth dominic kugongo ukuta sasa nahtaji wakunituliza.lakini naogopa kuvamia wenye ndoa zao nisije pandikiziwa zinga la...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Scoutmaster, "The only way to acquire a new skill is to start at the bottom." A little boy scout, "But master, I want to learn to swim!!!!!!!!!!!"
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Of any one hundred boys who become Scouts, it must be confessed that thirty will drop out in their first year. Perhaps this may be regarded as a failure, but later in life, all of these will...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
“Mtu anaweza kuzini kwa siri lakini hawezi kuugua ukimwi kwa siri”Hizo kondom mnazojifariji nazo pia haziaminiki, Leo wewe ni mjanja wa kushawishi, kuchochea na kufanya uzinzi na uasherati,ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom