JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kuna Daktari mmoja wa wagonjwa wa kichaa huko milembe alikuwa anawatest wagonjwa wake kama wamepata nafuu. Daktari akawaambia waannze kulia kama kama kuku. Wagonjwa wakaanza kulia wengine kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
sifa za kishamba ndo kama hizi,tupe zako....DAH!!MTOTO ANAJUA KUTUKANA HUYU, JAMAA ANAVUTA BANGI HUYU,BABA CHARO ANAJUA KUMPIGA KWELI MKE WAKE DAH!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
helo marafiki ndugu na jamaa wa chit chat... Nimepotea sana pande hizi. But i hope hatujasahauliana bado.
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Akina dada, akina mama, akina Bibi na wengineo wote wenye jinsia -Ke- Hii ni dedication yangu kwenu na fursa ya Kum-Kiss na Kum-Chum yeyote umpendaye.. Akina baba, akina kaka, Machalii na...
11 Reactions
106 Replies
22K Views
Wapenzi wanaJF nawasalimuni kwa mpigo Mamboooooooo! Nimewamiss sana baada ya kuhukumiwa na majaji wa JF kifungo cha miezi 3 kwa kosa la kumkashifu mzee wa Gombe. Nawaonya na ninyi msije mkafanya...
3 Reactions
16 Replies
935 Views
unapendelea style gani? Mamndenyi nakumbuka alikuwa anapendelea 'mbuzi kagoma' Chimbuvu kasema Madame B humwambii kitu kwa style ya 'mbwa anakojoa keep left' Erickb52 yeye anadai kwake 'kariakoo...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
chonde chonde wanachichat nina mwezi sijakuta meseji kwenye inbox yangu,nimewakosea nini?ntupie basi PM hata kama unantukana ili mradi nijisikie huru!(zaidi kinamama pliz mibaba ishieni huko na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Habar zenu wakubwa. Shikamooni na pia saizi yangu mambo zenu na wadogo hamjambo.'?? Ni siku sio nyingi nilitoa uzi unaotoa salamu zangu za sikukuu hizi zinazofuata. Niliahidi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Just imagime umepewa nafac ya kpekee kumchagua m2 m1 unaempenda aish milele...JE ungemchagua nan kat ya hawa? 1.mama 2.baba 3.mpenz 4.mtoto 5.mtaje mwenyew
0 Reactions
4 Replies
764 Views
  • Closed
Jama,hivi huyu Invisible ni mwanaume au mwanamke? Paw naomba unifikishie ujumbe kuwa nampenda Invisible na moyo wangu umedondokea kwake!!!
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Kichwa cha habari Chahusika. UTANGULIZI Takribani wiki mbili zilizopita nilileta kwenu taarifa ya kutengua uhusiano batili kati cha Chimbuvu na mke wa mtu Madame B. Kathka taarifa ile...
3 Reactions
109 Replies
5K Views
Baada ya kuchoka sana na kazi, kesho jumapili(02.12.2012) nataka nitoke na dada moja hapa JF Chit Chat nikatembee Beach. Nitafurahi sana kama atajitokeza kwa kuni PM ili tuwasiliane.
0 Reactions
94 Replies
6K Views
Baba:Mwanangu leo nakupa radhi, nakuvulia nguo maana hutaki kuacha kuvuta bangi! Mtoto:we we we we ukivua tu nakuf*ra
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kichwa cha Habari Chahusika. Jamani Member wenzangu wa ChitChat mnaonaje tukawekeana Mikakati Ya Kuanzisha Party Maalum kila Mkoa kwa Ajili ya Wana ChitChat pekee..???. Si lazima Tusaze,Kukutana...
4 Reactions
94 Replies
4K Views
Juzi police kawakamata jamaa wawili akaanza kuwauliza maswali kila mmoja, Mazungumzo yao yalikua hivi; Police;unafanya kazi wapi? Jamaa wa kwanza;sifanyi kazi popote...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Is your partner down to earth or drama queen?
0 Reactions
8 Replies
884 Views
Leo ni Ya Ukimwi Duniani,Nawatakia kusherehekea Kwema Siku ya Leo. Zawadi mtapeleka wenyewe..
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna mwana Chit-Chat mwenzetu aitwaye manoah naona leo kapagawa na jini maimuna! Tangu asubuhi amekazana kufungua thread zisizo na mbele wala nyuma!! Nadhani week end yake aliitumia vibaya...
2 Reactions
13 Replies
980 Views
the game goes like this, i make a sentence afu the next poster anatumia my last word kutengeneza sentensi ingine mfano; i need a plate of rice. then the next post might say rice is full of starch...
0 Reactions
57 Replies
3K Views
"DIAMOND ALINILOGA NAKUNIFANYA NIKOHOE DAMU NA NYWELE ZA BINADAMU".......TANZANITE Tanzanite, msanii aliyeibuka na kusikika zaidi katika masikio ya fans wengi wa bongo fleva baada ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Back
Top Bottom