Husika na kichwa cha siredi hapo juuu.
Mimi stevoh naanza kutuma salamu zangu kwa wafwatao sijaanza kwa mfumo wa "decending order or accending order" hii ni "random selection" naweza kurudi...
Lady: Do you smoke?
Guy: Yes I do.
Lady: How many packs a day?
Guy: 3 packs.
Lady: How much per pack?
... Guy: $10.00 per pack.
Lady: And how long have you been smoking?
Guy: 15 years...
Ni wazi kuwa mtandao wa JF unazidi kuwa maarufu na kukua kwa kasi, hapa niandikapo JF ina member 99,918 ikiwa ni member 82 tu wamesalia ili kufikia member 100,000. Je ni nani huyo atakeyakuwa...
1.i have a boyfrndz bt he's not in da country
2.the lecturer called me bt i ddnt answer
3.am not bleachng ma skn,my natural colour z just comng out
4.am on ma periods
5.i went 2 visit a guy in...
kuna jamaa yangu nipo nae hapa
ananiboa kinouma
yeye aliendaga Dar
sasa kila sehemu akiiona kwenye
tv
utaskia
coco beach iyo
mala karia koo iyo
mala akiyaona maji baharini
anaxema...
7th Dec.2012 to 10th Dec
Mugumu Town - 3 nights
10th Dec.2012 over night
​
Tarime Town over night
11th Dec, 2012
Mwanza City
12th Dec. 2012
TBA
Any JF member in the above mentioned...
Kwa taarifa nilizozipokea hivi punde toka kwa jirani yangu amenitaarifu kuwa kigogo mmoja wa chama fulani cha siasa hapa nchini amekutwa amefia katika chumba alimokuwa amefikia. Alikuwa amefika...
SIJUI KAMA SIKU HIZI ZIPO HIZI
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa...
1. Ukubwa wa Moyo wa mtu ni sawa na Ngumi yake
2. Saizi ya Kiuno ni Mara mbili ya mzingo wa shingo yake (ndio maana wakaka wengi wanapimia suriali shingoni )
3. Urefu wa Unyayo ni sawa na urefu...
kuona wanawake mnavyotutenda. Just imagine nikiwa bukoba club jana nimemwona Chimbuvu anaponda raha na charminglady,poor C6 anatia huruma maskini,kumgharimia kote charminglady kisha anafanziwa.
Ili niwe mwenyeji wa jukwaa hili la Chit Chat?
Kwa kifupi mimi ninaishi Arusha, lakini nimezaliwa Dar na kukulia Dar ingawa wazazi wangu ni wenyeji wa Kilimanjaro. Kule Arusha niko Kibiashara...
Teacher :what's wrong?
Abeiku :our house is very
small...me,my mum,my dad all
sleep in the same bed.
Every nite dad asks if i am
sleeping i say No..! Dad then he slaps my face &
gives
me a...
kunamschana flan unamfukuzia kwa mda mrefu kwel bila mafanikio.. Na mnakaa nyumba1 ambayo wote mmepanga! Na unampenda kuliko k2 chochote! Bt at end anaelekea kukubal... 1day ulbanwa na aja...
Nilienda kikazi Singida. Asbh
mapema sna mm niko Ubungo
nikapata tiketi ya dirishani. Muda
kidogo akaja Jamaa kakaa pembeni
yangu mm nikajua niko nae seat
moja. Sasa mshangao ndo
uliponianza...
Mlianza kwa kuvaa suruali zetu tukawanyamazia, mkaja mkavaa fulana na kaptula zetu tukawaacha, lakini kama haitoshi sasa mnapigilia hadi BOXER za kiume, hivi nyie viumbe wa wapi mwapenda copy kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.