Kwenye lile tangazo la easynet la baba,mtoto na bembea sijui kwanini huyu jamaa namfananisha na baba v akiwa busy na chit-chat:der:By the way what does V stand for?
SHULE YA MSINGI JANJAJANJA...
Ticha: Ni nani aliyemuua Chifu Mkwawa?
Dent 1: Sio mimi!
Dent 2: Walla sihusiki.!
Dent 3:Kwanza mimi jana sikuja shule.!
Ticha alipoona kuwa wanafunzi wote ni...
Kengele za hatari zililia kichwani wakati nashusha mguu kutoka godoroni.
Nilipaswa kudamkia ibadani lakini guts zikanileta online, ndo nakutana na zahama la kuzushiwa kuaga dunia (ingawa poster...
:lalala:
Hivi ingekuwaje kama BAO la kutombana lingekuwa linatoa mlio kama wa Bunduki? PAAAA!
Nafikiri tungekuwa VIZIWI Dunia nzima. Kwa sababu usiku kelele za mabao zingekuwa mingi hata kulala...
SIJUI KAMA SIKU HIZI ZIPO HIZI
1. Kupakwa GV kwenye kidonda
2. Kung'olewa jino kwa uzi
3. Ubwabwa kupikwa j2 tu
4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili'
5. Kupamba kadi sebuleni
6. Ukumbi wa...
Usisubiri kusifiwa jisifie Mwenyewe...Husika na kichwa ya habari hapo juu..
Mi ntakuwa wa Mwisho...ila kwa kuanzia..mi ni mbabe,hapa ngumi zimelala....uwezo wangu binafsi wa kumfurahisha na...
Katika mchakato unaondelea sasa hivi nchi nzima juu ya uundwaji wa katika mpya kwa wananchi kutakiwa kutoa maoni yao jinsi gani wanataka katiba hiyo iwe.Kuwa mzee mmoja katika kutoa maoni yake...
Wadau, asubuhi ya Jumapili mida ya saa3 asubuhi nimepokea sms kutoka namba +2347031639276.
Sms yenyewe hii hapa chini;
CONGRATULATIONS, Your phone number has won you $450,000 in the FIFA XMASS...
It was 20 years ago today that the first text message was sent. It was Dec. 3, 1992, and Neil Papworth, an engineer working in the UK, sent the world's first short message service or SMS. It...
Goodmorning Chit-chatters, niko safarini kuja Dsm natokea huku porini nilikokua bhana, huku kusini, will be in dar 4 a week or two, Have a nice Sunday, love you all undoubtedly!. . .
Wapendwa habari zenu,nilikuwa nafuatilia hili jukwaa kama guest kwa muda mrefu,nimeamua kuingia rasmi humu,kama kuna nyumba ndogo za my husband naomba tujuane kabisaa kiroho safi
Baazi ya viongozi feki husababisha maisha kurudi chini baada ya kwenda juu pia huwa wanajali maslahi yao tu tena husahau kama yupo kwa ajili wa wananchi yeye huona yupo kwa ajili ya maisha yake na...
KIFO:alimtembelea jamaa mmoja mambo yalikua hiv KIFO:rafik leo ni zam yako twende JAMAA: ha! sijawa tayar KIFO: angalia kwenye list yangu jina lako lipo juu kabisa JAMAA: kweli lakin tupate...
Wakuu...nawasalimu sana! Naomba tukumbushane tulikotoka na mtandao wetu pendwa wa Jamii forums.Katika kumbukumbu zangu,uzi wa kwanza kuusoma baada ya kujiunga JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.