Za mchana wapendwa
Nivumilieni sijui kuandika hila tutaelewana
kwangu nahishi na dada wa kazi kwasababu na watoto wadada zangu ambao nakaa nao hapa sasa huyu dada sikuiz amekuwa na vituko...
William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile
Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba
Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti...
Wanaume acheni hela ya matumizi nyumbani mtapigiwa sana. Hapa kuna ke ya mtu nafahamiana nayo inaniambia Mr katoka leo hajaacha kitu kwahiyo ni msababishe apate kula mchana. Au ni mtego huo kwani...
Guys ase kuna mwizi hapa kwangu anazunguka nimejaribu kumfokea amenijia juu eti ananiambia tulia wewe mtoto wakiume uku anajaribu kufungua mlango nifanyeje na simu haina sms wala dakiki in bando...
Ni rafiki uako yupi hujui alieda wapi na huwa unam-miss sana na unatamani itokee siku mkutane tena?
Mtaje labda na yeye yupo humu na atakusikia[emoji7]
Mimi naanza na Fatma Ahmed Tamim, nilisoma...
Ndugu wana Chit-Chat,
Tangu nimeijua dunia sijawahi kuvaa vazi la suti, hua naona watu tu wamevaa. Inasemekana ni vazi rasmi kwa shughuli maalum kama harusi. Mimi zangu ni: chini sandoz, suruali...
Nilipoteza simu na fedha maeneo ya Kimanga, nikaenda polisi kutoa taarifa ya kupotelewa, nikapewa RB na loss report. Wakati nimechukua daladala narudi kimanga pia nafika home najikuta sina ile...
Inakuwaje wanajamvi!
She is back. Nimeona amelike comment yangu flani. Kwa muda sana alipotea jamvini tukashikwa na wasiwasi. Welcome back Wangari Maathai.
Wengine nao siku hizi wamepotea hearly...
​Wanajanvi ninaomba mnisaidie katika utafiti wangu huu kujua ni kabila gani la kitanzania lenye wanawake warembo zaidi na ni kigezo gani hasa unachotumia katika utambuzi. Je, sura au umbo...
Jf member nawaaga sasaivi rasimi nitakuwa bize kidogo, na kama mkiona nimepost nipo pale niiteni mbwa huku nakula uyoga.
Sitopost ujinga wowote, nimepewa husia sana leo kuwa nirudi kwenye ubora...
Nishamaliza hapo unaona hii mvua sasahivi saa nane walio lala miguu minne ndio wanafaidi mmoja ana msogelea mwezie ndoa tamu
Achaneni na vijana wa ovyo wasio taka ndoa hao ndio wale wanaotak...
Dah nashobokewa na mdada mmoja kila nikienda kununua chapati anafurah ana kishundu sema embu nipeni ujanja huyu dada kesho nimkule kimasihara af tupie kwa rikiboy kule
Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
Kama kuna aliye karibu na namnani hotel akaniulizie pale mapokezi kama wameniokotea pete yangu room # 60 nilikuwa na mdada flani bonge mweusi. Nimefika mbali naelekea Iringa msibani tafadhali...
Habari wakuu,
Kuna nyuzi za story zimo humu JF zinahusu mambo ya kishirikina,utajiri wa kishirikina, kuua watu, na zingine zote zinazohusu mambo ya hivo, naomba msaada wa kuwa tagged ili nizijud...
Kila mtu ana zamani yake
Na miaka ile sie tu wangali wadogo tulipitia maisha fulani ambayo kwa sasa ni nadra sana
Wakumbuka zile kauli za mama zetu kama wanafalsafa wa uswazi😂😂
Mfano mama yangu...
Habari wanaJF, natumai tunajiandaa kuumaliza mwaka 2022, na kuupokea mwaka 2023 salama na kwa amani tele. Leo nashea kakisa kadogo kalikonipata wakati mtoto miaka kadhaa nyuma.
Miaka 21 imetimia...
Hellow
Humu bhna kuna matajiri wengi sana nazidi kupata marafiki wapya sana matajiri hawana mdomo
Humu nimekutana na watu wazuri kwa upande wangu mimi nimefaidika sana na watu wa humu japo...