JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
That moment, unakutana na mtu au wapishana naye kwa njia na utoe salamu. Then salamu yako isipate majibu hivi ni maneno gani huwa yanakutoka kimoyo moyo juu ya kitendo hicho. Mimi kwa mtu...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Girls Please stop breaking your Sugar daddies heart They are our bosses at work, Now they are shouting at us, for no reason
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa wale tulio pitia pale hembu changia lolote unakumbuka nini hasa
0 Reactions
7 Replies
997 Views
Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya furaha yangu. Kiukweli nimempata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA, kwahiyo leo itakuwa full raha bhahahahahah!
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Hellow time of joking Unakaaje dar na hauli biliani ijumaa yaani unakula ugali na kisamvu why si uendw kibiti [emoji23]
1 Reactions
35 Replies
796 Views
Wakati nipo ndani ya basi likichanja mbuga muda huo nikipata mawazo ya wadau mbalimbali ya wana-jf kuhusu kwenda kukutana na mwanamke kwa mara ya kwanza ambaye tulifahamiana kwenye mitandao ya...
19 Reactions
149 Replies
8K Views
Amsterdam! Everyone is using emojis now. Mwanzoni tulijua wanawake tu ndio wanatumia emojis[emoji3] ila sasaivi sijui ni fasheni mimi nimepitwa? Au ni ushamba? Au ndio feminism...
0 Reactions
51 Replies
2K Views
1. Wanaume wavivu zaidi Tz- WAZARAMO..Hawa hawafanyag kazi kbs, wao hushinda vibarazan, kucheza bao, kunywa kahawa na supu ya pweza! 2. Wanaume wabishi zaidi Tz- WAKINGA..Hawa kwa ubishi...
5 Reactions
85 Replies
10K Views
Sifa za unique flower, Nahofu ya Mungu. Namiaka 30+years old . Mkoa niliopo sijui napia kazi yangu ni umbeya. Napenda kuogelea , navitu ambavyo ni vizuri. Napenda kusali, kusoma biblia na kuimba...
3 Reactions
47 Replies
2K Views
Morng guys I have some of question waungwana hivi huwa mnatumia vigezo gani kuthibitisha kuwa fulani ni mchawi au analoga? Na je uchawi kama kweli upo kwanini watu wanatumia kwa kujificha...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Kupata mtu anayeweza kuvaa viatu vyako hakuna, sasa marafiki wengi wamejaa kuangalia unacho tu sio mengine. Omba sana ufirisike ndio utajua aina ya viatu. Dunia tunaishi maisha ya kuangalia...
0 Reactions
0 Replies
346 Views
Nilikuwa pande za Kigoma vijijini huko, kwenye kutembea nikakutana na huu mti, sema wenyeji hawaujui jina kwa kiswahili. Anyejua jina lake atuambie.
3 Reactions
9 Replies
637 Views
Binafsi nimeoa Drama Queen ambae full sanaa, Yaani nilinunua kiwanja Mbweni ndio nikaenda masomoni September 2019 Australia. Sasa nataka kutuma hela asimamie ujenzi January hii nataarifiwa...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
Hawa wanaume wanaovaa miwani wachunguzwe upya wanarembua macho ndani ya miwani embu wachunguzwe halafu mtoe tamko
6 Reactions
57 Replies
2K Views
Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023. Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha. Kwakweli...
10 Reactions
95 Replies
3K Views
Ukiwa Nyumbani Halafu Huna kazi Hata Mtoto Akilia Tu Inaonekana Wewe Ndo Umemchokoza! [emoji23][emoji23][emoji23]
19 Reactions
108 Replies
10K Views
Wale ambao tulituma pesa ya nauli na yakutolea, mwisho wa siku tukazimiwa simu na kupigwa block..tukutane hapa kwa nia ya kupeana moyo.
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Za jioni natumai wote mmekula na kushiba! Mwezenu sasa hapa nimepata ka feeling fulani hivi yaani natamani mtoto wa mtu anipende tu yaani anione wivu mda wote yaani mda wote aniembie tu ilove you...
2 Reactions
164 Replies
3K Views
Nina mpango jumapili kati ya hawa watumishi niende kuombewa niache pombe wakuu. Mnanishauri nielekee wapi katika hawa?
1 Reactions
2 Replies
309 Views
Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena. Sasa...
12 Reactions
149 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…