...halafu ndio wanakuja na tabiri zao mmavi mmavi.
Hii mamlaka ya utabiri wa hewa sijui wakoje, ajali imetokea ndo wanatoa tahadhari kuwa kutakuwa na upepo mkali pwani ya kusini. Walikuwa wapi...
Mchungaji na Dereva Taksii walikufa,walipofika Mbinguni Mwenyeji wao akampa Dereva Taksi mahala pazuri pakuishi, Jumba kubwa maru maru tele, hewa safi,mito ya maziwa na asali na matunda ya kila...
A young man married a beautiful woman who had previously divorced 10 husbands. On their wedding night, she told her new husband to "Please be gentle; I'm still a virgin".
"What?" said the...
Wapendwa, mwandaaji wa Zunduna Show bibie Zinduna ameniachia jukumu la kuchagua atakayeendesha kipindi na atakayekuwa mgeni so nafikiria haya:
Mwendeshaji awe Bishanga na mgeni awe The secretary...
kuna jamaa watatu walikwenda polini kuwinda gafra akatokea simba kila mmoja alipita njia yake mmoja kati yao akapanda mtini baada ya muda simba nae akaja palepale chini ya mti na kuweka pozi...
Kuna jamaa mmoja baada ya kuzidiwa na haja kubwa aliamua kuingia kwenye shamba la mahindi la bwana mmoja.Alipofika katikati ya shamba,akaangalia pande zote nane kuu za dunia hakuona mtu yeyote...
Sista alikaa uchi padre akamuuliza hiyo ni nini ?sista akajibu ni kaburi.Padre nae akajikalisha uchi
Sista akauliza hiyo ni nini?Padre akajibu ni maiti .sista akasema kama huna pa kumzika...
Jamaa mmoja alienda kumkopa rafiki yake na mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo
MKOPAJI: Oya mwana naomba unikopeshe elfu kumi (10,000)
MKOPWAJI: Dah! Sina mwana, nina elfu tano (5,000) tu...
Your own very daughter happens to find out your jf ID name,get herself registered,say as Lizzy and then starts to trade ballistic malavidavi missiles with you,jamani hivi ukigundua itakuwaje...
Leo nimekaa nikifikiria sana kuhusu suali hili:
How natural am I? What is fake, what is not?
Wanaume na wanawake wengi tunachukia fake
Fake hair, nails, fake eyelashes, fake skin tone
Lakini...
Daa aunt yangu kawa kama ngedere kwa sababu ya haya ma caro light mwanzon alikuwa na weusi wake mzuri roho yangu imeniuma hadi Prof Anna Tiba nae eti ameshaingia kwenye haya ma caro light.
kwanini
wanawake mnakuwa na roho mbaya kiasi hiki? Leo nataka mfunguke kwanini
mnashindwa kuoneshana upendo kati yenu. Utakuta mama mjamzito au mama
mwenye mtoto anasimama kwenye gari wakati...
Habari zenu wana MMU na JF kwa ujumla. Leo nimeamua kutoa dukuduku langu ni kuhusu huyu mwanadada Preta. Kila nikitaka kumPM naanza vizuri lakini nikifika katikati najikuta nimeifuta msg na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.