JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
We’re all for rape prevention, but when you [JF woman] can’t stop the crime, why not score immediate payback with the help of a little latex and some barbed plastic? That’s the idea behind [my new...
7 Reactions
67 Replies
6K Views
Kile chama cha (sijui kinaitwa Infid....) nadhani jana walivunja jungu, hapa ni mwenyekiti na katibu wa chama
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Utafanya nin kama umeitwa kusawazisha mgogoro huu? Siku ya ijumaa john aliamka mapema kuliko kawaida na kujiandaa kwenda kazini. Siku hiyo alikuwa anahitajika kazini mapema kuliko kawaida...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wapendwa wana JF Kwa kuwa baba wa wamatwins hajulikani na baada ya mchakato wa kupata baba wa kufikia wa TWINS wa Erotica kuwa mgumu, tumeamua (mimi and my love Erotica) kuwa mimi niwe mzazi...
16 Reactions
175 Replies
10K Views
Mwezi bado haujaandama kwa mujibu wa Mufti,mfungo unaanza kesho...so leo tunamalizia kuvunja jungu wadau...tupeane ayo maujanja wakuu tunavunja jungu wapi na kwa staili gani.
0 Reactions
0 Replies
978 Views
jamaa mmoja msahaulifu sana,siku moja alikwenda mgahawani kupata staftahi akawa ana hamu na mayai sasa akawa amesahau yanavyoitwa.Akafikiriaa weee akawa hakumbuki.ikabidi aseme haloo hebu nipatie...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Msegeju ana ng'ombe Nami nna ng'ombe zangu Namwambia tuchanganye hataki Kwa heri nenda zangu Kataaa kata Kata Kaunga kata Kiuno chako mwenyewe Kata Erotica kata Kata Zinduna kata...
6 Reactions
134 Replies
8K Views
wakubwa shikamoo,wadogo marahaba, rika langu habari zenu binafsi? angalizo:nimetoka jukwaa la utambulisho nikaona nipite hapa kuwasabahi. mlale salama wapendwa wanajamvi
1 Reactions
63 Replies
4K Views
The reason you still can't stop lovin', that person although you know Unaemng'ang'ana HAKUTAKI, if it's She or He. That it means your subconscious mind didn't fully accept wht happened...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
sipho; dr i have a problem of forgetting dr; when did the problem start? sipho; which problem..? mimi nilikua na swali hivi watu kama hawa ni nani anawatibu na wanatibiwa kwa patient...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
morning guys Hebu mnambie ni kitu gan wewe mwana jf unakipenda kukifanya au huwa unakifanya mara kwa mara yan kilasiku lazma ukifanye na pia unaeza fanya mara nying sana kwa siku na huwa...
1 Reactions
71 Replies
4K Views
Thismemo is to announce the development of a new software system which will be Year2000 and beyond compliant. This program is known as "Millennia YearApplication Software System" (MYASS)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JAMAA MMOJA ANAPENDA SIFA SANA SIKU MOJA ALIKUWA NA WENZAKE WATANO WANATEMBEA,WAKATI WANAANDELEA KUTEMBEA WAKAFIKA SEHEMU PANANUKIA SANA PILAU.WALE JAMAA WANNE KWA PAMOJA WAKASEMA DUH!AISEE HAPA...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Gereza la kazaroho, S.L.P.1107, MAREKEBISHO, . Wapendwa wazazi wangu, Leo ni siku ya nafuu kwa wafungwa vijana. Nimepewa robo saa ili niwakumbukeni kwa barua. Nami bila ajizi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Ili kupunguza idadi ya wanaJF kupigwa pini /ban mara kwa mara, nashauri lianzishwe jukwaa la kuyaporomosha yote ya moyoni dhidi ya yeyote yule awe kiongozi, msanii,..etc coz kuna watu wanakera...
0 Reactions
3 Replies
731 Views
(Reuters) - The dingy corridors and gloomy wards of a long-abandoned Saudi Arabian hospital have drawn hundreds of amateur ghost hunters who believe it to be haunted by jinn, the malevolent...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni maneno ya waziri wa elimu Mutula Kilonzo! eti kadai wale mabinti hawajaenda shuleni kusomea u sister,hivyo waachwe kuvaa vimini vyao kwa kuwa waligomea masomo kwa kukatazwa kuvaa vimini vyao! mwee!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umewahi kukutana na mtu mkabadilishana namba za simu ukajuuta? asubuhi anapiga,mchana anapiga,jioni anapiga usiku anapiga... usipokea anakuuliza why hukupokea as if ni lazima upokee sms...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
JF fungua njia aaaaaaaah kitoto chaanza kutembea..... Duh ndo nimetoka kifungoni nilipigwa ban. hivi ni maneno gani ukisema humu unapigwa ban naomba mnitajie ili nisije nikaludia tena.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa watatu walienda kuomba tenda ya kujenga uzio wa nyumba ya serikali, MJENZI 1: Mimi naweza kujenga uzio kwa shilingi milioni 2, vifaa milioni,wajenzi laki tano na mimi nitapata faida laki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom