JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Eti inasemekana kuna mtu kwenye ajali ya juzi ameokolewa na busha lake.alipoanguka kwenye maji tu likaelea kama boya na kumwezesha kuogelea kwani lilimsaidia asizame itabidi na mimi nifuge busha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SAKATA la ndoa ya Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibroad Slaa na mchumba wake, Josephine Mshumbushi limefichua siri mpya kuhusu maisha yao ya kimapenzi...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
I'm not going to school http://4.bp.blogspot.com/-NH3KSovAfYs/UAp7GvyynkI/AAAAAAAAAPw/NS__jwnpIAg/s400/i%27m-not-going-to-school.jpg funny images
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chukua 259 zidisha kwa umri wako, jibu utakalopata zidisha kwa 39, utapata tarakimu sita, katiaka kila tarakimu mbili itaonyesha umri wako. (Proches J, 2012).
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Vichwa hivi tunavyo, tunavitumia kufikiri si kufuga nywele lol aisee, alikuwa akimjibu Lissu. Napenda mipasho jamani, hivi wazazi si wangenisomesha taarabu tangu nikiwa pureimari saa hivi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani wana chit-chat,Hivi ni kwanini babu kipara huamka usingizini? Mfano mzuri unapokurupuka usiku kwenda kupata Haja ndogo yani unakuta babu kasimama alafu jicho moja limetoka mbaya,Nini...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Waungwana naombeni jina la blog wanayoitumia noizmeka. natanguliza shukrani!
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Haina ubishi katika hili , tunao members wengi wanaojihusisha na "mpango wa kando" Btw niliyowalenga hapa ni wale wenye style, ya kuipumzisha mipango hiyo kuupisha huu mwezi wa mfungo, na mara...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
NI vitu viwili tu vinavyobadilisha MOOD ya wanawake? 1. I LOVE YOU 2. 50% DISCOUNT
0 Reactions
4 Replies
929 Views
Wapendwa wanaJF wenzetu. Napenda kufikisha salamu za upendo na kheri kwenu wote mnaotarajia kufunga kwa mwezi mtukufu. Tunawatakia Mfungo Mwema kwenu na familia zenu.
4 Reactions
29 Replies
2K Views
usione sipatikani humu jukwaani jamani haya ni mahanjamu na malavidavi ya mtoto wa kitanga beibe nasty ... kaniita kwake tokea wiki mbili zilizopita, napikiwa, naogeshwa, nabembelezwa, nabebwa ka...
0 Reactions
51 Replies
4K Views
I am who I am. Your approval is not needed.
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Wadau, Nataka kujua real choo cha kike kikoje? wanume tu wajibu wale walioingia choo cha kule, na akina dada, hapa ndo penu mtuambie!
0 Reactions
40 Replies
5K Views
hivi ingekuaje kama siku unaamka ghafla unajishtukia kwamba gender(jinsia) yako imebadilika.!!! kama ulikua me unakua ke na kama ulikua ke unakua me, emh tuelezane ungelia, ungefurahi...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
tembo alikuwa akisumbuliwa sana na kupe sehemu za siri kwa muda mrefu sana ,akaja ndege mwenye njaa akawala wale kupe wote na mfalme Tembo akafurahi sana sana akamwita ndege akamwambia unataka...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
HIVI KAMA UNGEKUWA WEWE UNGEFANYAJE?.,.,., babu yako ndio alikuwa anataka kukata roho akakuita wewe ambaye ndiye mjukuu wake akakupa wosia huu hapa "mjukuu wangu kipenz mimi ninazo milioni 800...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni kawaida katika mazungumzo kusikia watu wakisema.. 'nimepata bonge la 'shangingi' au mke wa fulani 'shangingi la kufa mtu' au mitaa ya sinza kuna 'mashangingi ya ukwel'.... na hata wanawake...
12 Reactions
252 Replies
40K Views
Mimi Nyani Floribert Nzagamba wa Ngabu, napenda kuchukua fursa hii kuutangazia umma wa Jamiiforums kuwa sina beef wala ugomvi na yule bilionea wa Kihaya, Bishanga Biakabutuka wa Abashaija. Kama...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Ewe "MOLA" natamka mimi ninaye soma hapa kwa kauli yangu mbele yako "MOLA" kwamba sito VUNJA JUNGU! Na endepo nitashawishiwa basi hapo hapo kama ni kitandani, uchochoroni, baa au pengine popote...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Mwanaume wa kwanza kuota kitambi si watu walidhania kwamba mimba imekosea njia.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom