JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ni aje wana jamvi,najua katika mambo ambayo member anaweza kuyafanya hapa jamvini ni pamoja na kuanzisha thread,kuchangia/ku comment kwenye thread flani, kugonga LIKE kama umekuwa impressed na...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Sijui kwanini nimeona nikuwish wewe tu, ukiwakilisha waislamu wote safi humu jamvini (sio kama lile lijamaa, if you know what am I sayin), nikutakie dada Mwali funga njema na yenye thawabu, since...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Ki2ko cha mwzi wa tv jamaa1 ali iba Tv akaibeba akaanza kukimbia nayo kumbe kwenye ile nyumba kulikuwa na mgonjwa wa akil akaanza kumkimbiza, yule mwzi kila akiongeza mbio na mwenzie huyu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Am in need of a girl to share my world, any SEXY chicK pliiz!
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Hay! Niajeh wenyeji Im a newer here! Huku patamu kama fb kweli
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Baada ya miaka michache ijayo nadhani lugha za makabila mengi zitakufa kama si kufutika kabisa. Kwa mfano: Wewe umezaliwa Dar ila origin yako wewe ni mtu wa songea ukakuwa Dar ukasomea...
5 Reactions
148 Replies
13K Views
bongo ukisikia watu wanamzungumzia mtu anayekula bata basi ujue ni wale mapopo ambao hawalali usiku wa manane!kuna wabishi wanakula bata zao ndefu tena mchana kweupe!wengine kujifungia ndani ndo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo ni siku ya uvaaji chupi duniani. Watu wote wanasherehekea kwa kutaja rangi za chupi aliyovaa leo. Je yako ina rangi gani? 1. Ukikaa kimya maana yake leo hujavaa. 2. Usipojibu kwa maandishi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Toba yaillahi, mambo yeshaharibika!
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Hawa wote ni vijana machachari ndani ya ccm, kwa maoni yako ni nani kati ya wawili hawa ni kiongozi bora mwenye heshima mbele ya jamii kwa uwezo mkubwa wa kujenga hoja na ni mfano wa kuigwa na...
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Wanajamvi last week nilienda kule,nashukuru kwa kampani ya Cacico,Bishanga,Preta,Gwangambo,Erickb52,switlady na wengineo,but the mission was un accomplished,tommorow i'm going back there na safari...
0 Reactions
2 Replies
781 Views
thanks God nimemaliza shughuli zangu na nimeona niendelee kujumuika nanyi tena.
1 Reactions
193 Replies
9K Views
Wandugu, nipo nafanya arrangements za kufanya utalii wa ndani around mid August. Idea ni kutembelea mbuga yoyote ya wanyama - kwa mara ya kwanza. Nipeni uzoefu wenu. Mbuga ipi ntafanikiwa kuona...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
1-Love 2-Diamond 3-Flower 4-Spade
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hali zenu wanajamvi, nliwah kusikia kwamba watu wenye nyota moja hawawezi kuwa marafiki ama hawawez kuwa na mahusiano ya kudumu. mf. wa nyota moja ni wale watu waliozaliwa mwez m1 kama walozaliwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamke alirudi nyumbani amelewa, mambo yakawa hivi: Mume: Yaani umenyweshwa tena pombe na wanaume? Mke:Wewe gari ushawekewa mafuta kazi kwako kuendesha, wasiwasi wa nini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kichaa mmoja alipanda juu ya mti wa maembe,akiwa juu mara akajiachia na kudondoka chini,jamaa mmoja aliyemwona akamfata na kumuuliza kulikoni? Chizi akajibu; nahisi nimeiva,niokote kwa matumizi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NIKO bandarini hapa Malindi, nimemkamata Mchina mmoja akiwa na mkoba mmoja mkubwa sana, nimemsachi nimemkuta na mavuzi kama kilo 7 hivi. Nimemuhoji amesema kuwa anayatumia kama mboga, kasema...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimepotelewa na ndugu yangu Kabira ni mkurya Rangi ni mweusi kama chungu Ni mfupi kimo cha mbusi Hana jinsia yeyote Jina lake... Nyabhikwabhe Bharangambagamba chengisorichiraheta, mara ya mwisho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wazalamu ni nona yahani walimkamata mwizi hajampiga wala nini walimsema mpaka kafa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom