JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa alikuwa anamkoleza demu moja hivi, ilikuwa ni mara ya kwanza, jamaa kwa mbwembwe akajifanya kumsifia demu. Jamaa: Best kitu yako ya moto!! Demu: Wengi tu wanasema ivo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna jamaa alipata ajali mbaya sana kwa bahati nzuri hakufa sema bajaji ilimbana kwenye mti na kumfanya azimie.Watu walikuwa wanapita bila kumpa msaada unajua kilichomponza ni nini?Kwenye bajaji...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ulimwenguni kuna bilions of matukio at a sekunde. Hebu ripoti tukio unalolishuhudia sasa mahali ulipo, liwe dogo au kubwa, iwe nyumbani, barabarani, ofisini, nk. Mi hapa namwona boss wa ofisi...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Nikiwa na hasira moja ya dawa zangu ni hii, sjui wewe. Cheka uongeze uhai heheheeee <iframe width="420" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/yx47i6-aVms" frameborder="0"...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
My sister wa ukwee gfsonwin....for job and pilikapilika sake za asubuhi hii hebu badilisha hicho kigauni kwenye avatar....uuuuuph
4 Reactions
75 Replies
5K Views
Dah, nimeamua tu kujipongeza kwa post ya 15,000 Afu bana, mapost meeengi rep power kidogoooo Ni sawa kuwa na kichwa kikubwa afu napata F Muwe basi mnaniona ona nyie mnaosahihisha mtihani japo...
5 Reactions
50 Replies
3K Views
jamaa anakua bussy napi ni msauluvu siku moja akajisau hata yeye mwenyewe kama mi mwanmke au ni mume ikabidi kwanza ageuke pembeni the ajichungulie ndipo akagundu yakua yeye ni MUME
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Angalia mchoro huu kwa makini kisha niambie ni mbao ngapi?
2 Reactions
18 Replies
2K Views
"Unaitajika ushauri wako katika hili mwanajf: katika familia moja iliyodumu kwa muda mrefu pasipo mtoto,wakiangahika huku na kule ili wajue nini na nani ni chanzo. Na baadaye madaktari...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
wamasai-ulinzi,utembezaji wa dawa za kienyeji wamakonde-ulinzi wa nyumba zisizoisha,uuzaji wa nguo za mitumba. wachaga-uuzaji wa pombe na nyama ya nguruwe(kitimoto). wapemba-uuzaji wa Vyuma...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau nimefungulia Radio One kwa bahati mbaya, nimekuta mpambano wa Bonge Flavour, Mh Sugu na Prof jay. Aisee, Old Skool nimekumbukia, sasa Sugu anasaema amekaa muda mrefu, yuko na Jide...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ningependa kujua faida ya hizi porn pic and vids ikoje na kwa tanzania wapi naweza nika get job ya haya mambo yetu
0 Reactions
24 Replies
305K Views
Eti kwa aina hii ya ndevu wengine huvutiwa zaidi! Wanaume wamekuwa wakijiuliza je, ni vizuri kunyoa ndevu kipara kabisa au kuziacha zikue na kuwa mzee madevu?. Je, nitaonekana navutia nikiwa...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari za hapa wanajamii?mimi ni njuka humu ndani lakini ni mbabe kwelikweli..natumini wote mko vizuri,,nawatakia ufanisi katika shughuli za ujenzi wa Taifa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku ya pili tu ya mfungo ameutandika mtindi......kweli sikio la kufa halisikii dawa, kama si Mamndenyi kuazimwa toroli na Kimbweka leo tungezungumza mengine
3 Reactions
28 Replies
3K Views
NDOA NDOANO! Mtu na Mkewe walikuwa wamelala, katikati ya usiku Mke akaweweseka "Wewe amka tena uondoke Mume wangu anakuja" Mara Mume ghafla akakurupuka akanyakua nguo zake na kurukia dirishani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mi ile tatoo ya Aminata9 inanitoa roho, sijui wengine mwaonaje Leo nimeamua kuanza na kadogo, pole pole nitaongeza mgongo wote Hapa nikiwa milimani city, with my new outfit: naonesha kidogo...
5 Reactions
90 Replies
6K Views
Kwetu usukumani watu hualikana kwa zamu kulima shamba la kila mmoja.Ili kupeana motisha,watu hupewa pombe na nyama ya kutosha.Kule kwa wakurya watu hupewa nyama choma na BANGI ya kutosha kama motisha.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah. . .kweli kijijini kutamu na kuchungu. Niliwamiss, alafu nikawamiss, kabla sijakaa vizuri nikawamiss zaidi. Sema ndo hivyo tena kijijini mambo mengi kweli. . .yani hujakaa vizuri kuna...
14 Reactions
57 Replies
4K Views
Wiki nzima mnatuvalia mavazi ya kututega. Tumeamua kuja kutubu dhambi zetu za kutamani, huku nako mnakuja na vimini vyenu na visuruali vya kubana! Tukimbilie wapi sie? Wengine miguu yenu kama...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom