Ni nani anamoderate chit chat? Nataka nimjue kabla sijatoa maamuzi magumu coz anavuruga akili za watu kinomoumer. Haiwezekani mtu aanzishe thread halafu uidelete kama unanawa vile tena bila...
1. THE COMPLAINERS- hawa
yani
Umeme usikatike Kidogo ,.
Lazima
Watoe Status kuhusu Umeme au
Tanesco
2. THE PREACHERS- Hawa
wenyewekila
Ijumaa ujifanya
Wameguswa sana ..
Wanatoa Status za...
BABA ,wewe mtoto niletee soda
MTOTO, pepsi au cola
BABA, pepsi
MTOTO,ya kopo au ya chupa
BABA, ya kopo
MTOTO, ya baridi ya moto?
BABA, hee wewe mtoto mbona maswali
mengi haya...
Jamani natafuta wale wenye sifa zifuatazo ili angalao week end hii nipate wakutoka nao.
Kwanza awe ana 'JF Bronze' au 'JF Gold' awe mwenye jinsia tofauti na mimi.Ni urafiki wa kawaida tu na si...
katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto.mtoto akakataa,mama akamwambia ''nyonya kama hutaki nampa anko anyonye'' anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi na huyo mama. Mtoto akanyonya kidogo...
kwa kweli hii tbc inakoelekea ni kufa kibudu. Kwanza kabisa sijui hao mafundi mitambo wana matatizo gani, kila inapokaribia habari mara sauti hakuna mara picha zinakwama taarifa inakuja kuanza...
Mwizi mmoja alienda kuiba kitaa kimoja hivi,akabaatika kuingia kwenye nyumba moja pale kitaani.Alipoingia ndani akafanikiwa kuchukua baadhi ya vitu.Alipo maliza kuiba si akataka asepe,dogo...
jamaa mmoja alijifanya kipofu ili kuwashawishi waumini wampe misaada.Alikua akitembelea misikiti ya vijiji vya mbali ili kukwepa watu wanaomjua.
Bw.Ndutu aliweza kubaini janja ya kipofu.msikiti...
Hii imetokea juzi ruti ya kutoka
Sinza kuelekea Posta mishale ya
saa 3 asubuhi. Kulikua na daladala imekula nyomi
kama kawaida asubuhi kwenda
town watu wanajaa tangu
mwanzo wa basi kwa hiyo...
dogo baada ya kupata vijisentina kujiona tajiri aliamua kumwambia baba yake 'nikulipe nini ili tusijuane baba?' baba akamjibu 'nipe mkeo nimnyonye maziwa kama wewe ulivyomnyonya mke wangu...
Jamaa mmoja mwanasheria alikuwa na kimada, siku moja wakati anatoka kazini kampakiza kimada kwenye gari yake wakafanya mapenzi, baada ya mambo yao, Demu akasahau chupi yake kwenye gari, jamaa...
A man who studies computer science,
loved a girl. He sent her a letter saying:I
LOVE YOU MORE THAN MY COMPUTER
Believe me it is true...You installed the
best in me. Your picture is always in...
Mtoto mmoja alimwuliza baba yake,
Mtoto: Baba ukiona sh 10,000/= na sh 5000/= zimedondoka wewe utaokota sh ngapi?
Baba: Nitaokota sh 10,000/=
Mtoto: We Baba ***** kweliiii! Badala uokote zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.