Kila kitu ni left hand
Gari left hand
Bajaji left hand
Cherehani left hand
Nyumba ipo left hand
chumba kipo left hand
kitanda kipo left hand
avatar za wana jf zipo left hand
Picha kwenye...
Siku moja kuna watoto walikwenda katika bustani yakanisa wakapanda juu yamiti ili kuangua matunda. Wakati wapo juu yamti mmoja kati yaowatoto wakike alikua hajavaa nguo yandani. Sasapadri akawa...
Waungwana eeh!
Hivi ni kwa nini hizi nyumba za Wageni (Guest houses) siku hizi hazitumii sana hilo jina na badala yake neno Lodge ndo linachukua kasi? Je ni mahitaji ya wateja hasa wenyeji...
naomba leo wana jf woote mliopo maeneo hayo, mjipange mabarabarani na muonapo tu gari la green star mlipungie mikono kwa nguvu sana.... napita mitaa hiyo leo... Kongosho nikipita mwadui nikuletee...
NAHITAJI KUJUA KUHUSU BAN NI NINI? MAANA NAONA MTU KAANDIKA AMERUDI BAADA YA KUPGWA BAN. UKIFANYA NINI UNAPIGWA BAN. NANI ANAEKUPIGA BAN. UNAJITOAJE. KWEMYE BAN? WAZOEFU HEBU MNIJUZE HILI. NB...
habarini za leo! hivi mnaonaje ikapangwa kama tafrija moja hivi kwa ajili ya wana JF kukutana na kufahamiana na kujenga uhusiano mzuri? tuonane na kina erotica, king'asti, mtotowamjini, boflo, na...
Reasons why I never visit rich people !!
Question: "What would U like to have... Fruit juice, Soda, Tea, Chocolate, Milo, or Coffee?"
Answer: "tea please "
Question: " Ceylon tea, Herbal...
..Mtu na akili zako kweli unafungua zipu ya Suruali na kutoa Limshedede lako halafu unakojoa juu ya Sink la kunawia badala ya kukojoa chooni!!!@@###
..Hii imetokea Uwanja wa Taifa jana katika...
Kuna baadhi ya members humu ndani nimeona wameanza katabia kachafu cha kummendea mke wangu cacico, wananivizia mimi nikiwa sipo wanaanza kumfuata fuata na kutaka kumtongoza mke wangu tena wengine...
Siku hizi sina raha, na mke wangu nyumbani
Nirudipo kazini humkuta, kajiinamia
Nauliza vipi mke wangu, mbona umekasirika, hushindwa kunijibu hubakli anaalia
Nazidi kumbembeleza sana sana mke...
Patient: Doctor please give me something I have severe stomach ache.
Doctor Bentum: Take this pill u will be fine and meet me after 2 days.
After 2 days..... Doctor Bentum: How are you...
Wakulu, wajukuu na vijana wangu.
Huyu mkoloni wangu kajipendekeza kuingiza mshahara mapema mwezi huu. Ntautandikaje weekend hii? Nawakaribisheni nyote hasa wale wapenzi wa ulabu. Bila kujali...
Kulingana na malalamiko,madai na migogoro inayo endelea kwa wafanyakazi mbalimbali nchini kwetu, hebu sasa tujaribu kupendekeza ni kima gani cha mshahara na Posho kinafaa kulipwa wafanyakazi...
Unafahamu, huwa najiuliza mbona wabunge hawajawahi kugoma kwenda Dodoma? Ukiongea na waheshimiwa Wabunge, wanalia njaa pamoja na posho za kila siku hiku wakitimiza wajibu wao. Vikao vya Bunge ni...
Baada ya mwizi kuvamia nyumba moja usiku hapa kitaa na kuiba vito pamoja na vitu vingine na akijiandaa kuondoka ghafla anadakwa mguu na dogo..
Dogo : usipochukua na begi langu na shule NAPIGA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.