Hii imekaaje kulikoni Bakwata kumgeuka Mufti na kumuambia ameifilisi yaani siku zote kuanzia alipoanza hadi kamaliza ndio wanastuka !!!
Wamsamehe tu mambo ya wanadamu hata kuwa Mufti mkuu sio...
umemkumbuka mzee wako au unaangalia threads humu ndani em nenda kamu "wish" baba yako "happy fathers day" please nakuomba mimi ndo nataka nimu"wish" sasa kwani sikuwepo nyumbani. Make sure that...
Sifa za Mume Mtarajiwa:
1. Anapenda Ugomvi.
2. Hana mawasiliano na mke wake mtarajiwa(Simu).
3. Anacheat na wanawake wengine.
4. Hana mipango yoyote ya mbele kuhusu maisha/maendeleo na mke...
Hawa Mods wana mengi sana msiwaone hivyo mkawadharau…..Nazungumzia akina Invisible, Paw, Cookie (sio ile ya kupika soma vizuri), Roulette na wengineo.
. 1. Kwa mfano wanajua...
Cm iliita,
Mume:hello baby.
Mke:hello sweety.
Mume:nitachelewa kurud
leo.
Mke:nishajua uko kwa vijanajike vyako,ww
mwme
malaya km nn, nacjui
ilikuaje
nikakutaka nakuchukia km
nn ckupend...
Jamani niembeeni safari njema niko kwenye basi hapa jirani yangu anakula mahindi ya kuchoma mayai na anakunywa maziwa ya mtindi haya bila shaka. Sijui hata itakuwaje hapo badae maana safari...
ABUNUASI NA KISA CHA PUNDA..jirani yake abunuasi alikua anataka punda kwa ajil ya kusafirisha mizigo yake,akamwendeaabunuasi akamwabia jiran naomba niazimishe punda wako,abunuas akamjibu mimi sina...
Nimekuwa nikipitia avatar za wana jf leo siyo siri nyingine zimejaa vituko, nyingine zinachekesha, nyingine mHHH...
Wanaoongoza kwa kuweka avatar kali ni...
1. PROF KASAMBANDA...
"Dawa ya mba, mende, kunguni, vipele, mapunye, dawa ya mba, fangasi, vipele, mapunye" natumai wengi mshalisikia hili tangazo. Sasa juzi kati nimekutana na h ii mpya. Dawa ya kuongeza hamu ya kuoga...
Wikiend ndo hiyo jf inanipa raha! Hebu kumbuka yale mambo wazazi/wazee wako walikwambia lakini yalikuwa either funny, strange or unbelievable!
Mf 1. Wajomba zangu watatu walisoma shule darasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.