Basi hawa washikaji waliochaguliwa kwenda in service training pale ITA, bata tupu. Breakfast, lunch, dinner buffet for two months training. room za kulala, tv etc
alafu wanakuja kula rushwa
Atakayepinga hili akapimwe akili.
Fuatilieni tangu kuumbwa kwa ulimwengu kaskazini ndiyo iliyoinuliwa.wakati ibrahim akiachana na ndugu yake alimwambia achague kaskazini au kusini angalia ibrahim...
Dad : Give me your phone for a second
Son : wait dad, let me switch it on
{... Delete video
Delete picture
Delete music
Delete private
Delete number
Delete
Delete
Delete
Delete X_X
Delete
Delete...
jamaa mmoja aliiba tv akaibeba
kisha akaanza kukimbia nayo
kumbe kwenye ile nyumba
aliongia kulikuwa na mgonjwa wa
akili akaanza kumkimbiza yule
mwizi kila mwizi akiongeza mbio mwenzie huyu...
:
HEBU SOMA HIKI KIMEMO CHA BABA ALIVYOWEKA SHERIA MPYA KWAKE BAADA YA HALI YA MAISHA KUWA NGUMU:-
HOME INTERNAL MEMO
FROM: FATHER
TO: ALL DEPENDANTS AND RELATIVES
CC: MOTHER
DATE: TODAY...
Jamani kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa mh. Tundu Lissu ameitwa na familia ya aliyekuwa rais wa Misri kuwa wakili wa rais huyo wa zamani wa Mumbaraka, naombeni mwenye uhakika atuwekee hapa nasi...
Ni kweli hili? Hivi umewahi kwenda kwenye ofisi ya mtu au ofisi ya kampuni fulani na baada ya kufika pale ukajikuta unagandishwa pasipo ulazima wowote ule? Aidha jamaa atachelewa kutoka ili...
wachawi wawili wanaodai ni waumini wanaosali RC wakamatwa mwanza! cheki video! sijui ni ukweli au usanii tu
jamaa wamepaa kutoka kigoma hadi mwanza! alafu shori mjamzito...!
Mi ndo nasubiria menyu la kazini leo j3 ugali na maharage, nyama,mboga za majani na matunda kwa pembeni, nikiongezea hapo na kyoda changu cha sprite basi nafeel muruaaaaa.
Ebu tupe mida unatupia...
Bwana mmoja alinunu mbwa jike, kwa kuwa hakupenda mbwa huyo azae mara kwa mara akawa anampaka dawa ya kuzuia mimba ktk uke, siku moja mtoto wake wa kiume akamuona baba yake akimpaka mbwa dawa...
ebwana mzunguko wa maisha umenilazimu kutia nanga huku singida for a while...ila majina ya sehemu za huku mmnhh
1.KINYETO
2.KIPUMBWIKO
3.MAKHOJOA
4.ISHPUNGA
5.SENGE
6.UNYANKINDI...
Kama mjuavyo humu jamvini kuna watu tunawajua kuwa ni couple.Wengi wao ni kapo za kimtandaotandao.Ila mjue kuna wengine huanzia flirting,then PM,then skype kama ipo,then namba za simu zikianza na...
Inanisikitisha kuona wana jf tunavyoogopana hivi nikwa nini??kwanini wengi wetu hatupendi kukutana??tatizo nini??kwakuwa tumekuwa wasanii kwa sana au zaidi ya hapo??
1. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA
2. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.