Mzee mmoja toka bush ambaye hajui vizuri kiswahili aliingia hotelini ili ale kuku ila alisahau anaitwaje. Kuangalia meza ya pili akaona kijana mmoja kaletewa mayai ya kuchemsha kwenye sahani. Basi...
Binafsi nimezaliwa tarehe 25 novemba...na ninashare birthday na aliyekua mtoto wa Rais wa Marekani J.F Kennedy Jr.
Vipi ninyi wenzangu siku zenu za kuzaliwa mnashare na watu gani maarufu wanaweza...
Jamani member wa JF,hv unapochangia uzi huu unakuwa ktk mkao na mahala gani?
Me binafsi nipo ndani ya Bajaj naelekea Leaders kucheki Msondo ngoma na Twanga.
Nimekunja 4 wewe je?
Mwaga data zako hapa.
eeeeeehuuuuuu pheeeeeewwwww yaani wana jf wooooooote naona wakubwa walitutandika li blanket ban.Kweli nimeamini ban inauma aisee,one week no see jf,chaaaaaa muda mrefu aisee.
Embu tujuzane ndugu...
Drinkers, rejoice: Theres now a way to get a buzz on in just a few seconds and without the harmful effects (or delicious taste) of alcohol. Its a mouth spray called WAHH Quantum Sensations,...
MAASAI kaenda church na Kondoo wake.
PASTA; ero siuingie
kanisani mbona unakaa NJE?
MAASAI;-):unathani mi MJINGA?ehe..
si naskia SIMBA wa YUDA yuko ndani:.
mtoto wa kike alipewa kiazi na mama yake wakati mama analekebisha msosi jikoni na baba alikuwa anasoma gazeti la Ngono sebuleni huku kavaa taolo peke yake
mtoto--------- sitaki...
Three men were talking about their teenage daughters:
The first says "I was cleaning my daughter's room the other day and found a packet of cigarettes. I didn't even know she smoked".
The...
Siku mbili mfululizo naperuzi kupata jamii forum bila mafanikio nikaugua! Nilidhani ndo hivo tena tumehujumiwa na ma mafia wasiopenda maendeleo ya nchi hii,karibu tena kiongozi! Hapa nikiamka...
jaman nimeugua ghafla coz kila nijaribiapo kuingia jf naambiwa oooh maimtainance basi nikawa sina raha nawamic wote hadi nimepungua. .nawapenda jaman n nimerudi sasa bby nasty
Nipo jela,ghafla Askari Jela anakuja na kunieleza Kadoda11 kuanzia sasa upo Huru.Nashangaa kwa kuwa niliambiwa kifungo changu kitakoma tarehe 20/5/2012...Hata hivyo nimefurahi sana kurejea...
Jamaa alinunua friji jipya, akawaza namna ya kuondokana na lile la zamani basi hatimae akaliweka nje ya nyumba yake na kuandika kibao ANAE TAKA KUCHUKUA ACHUKUE BURE. Watu wakawa wanapita...
Jamani nilikuwa kanisani,kuliko pastor mgeni aliyekuja hapo kanisani,akafundisha somo la "utoaji",somo ilipoisha
akasema akasema sema watu wamtolee Mungu vitu ambavyo wanajisikia kutoa,watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.