HOW TO SPEAK ABOUT Women AND BE POLITICALLY CORRECT:
1. She is not a BABE or a CHICK - She is a BREASTED HUMAN.
2. She is not a SCREAMER or MOANER - She is VOCALLY APPRECIATIVE.
3...
Dem flani alipigiwa simu na namba geni mambo
yakawa hivi NAMBA NGENI:"Haloo! Mrembo una boyfriend?" GIRL:"Yap ninae kwani we ni nani?" NAMBA NGENI:"Mi ni baba yako kumbe una
boyfriend eeehh...
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake , lakini kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi mwenyewe. Kafika home kavua nguo...
Yule kada wa CCM kupitia Radio ya watu kaishiwanguvu baada ya kusoma list ya Ma DC na kukuta lake halipo!!
Matokeo yake jana kwa hasira aliamua kuwachana wana CCM wenzake wakati wa mazungumzo na...
Wanamsafirisha mtuwao aliokua anajifanya kafa kisa hamna nauli ya kuwatosha wote kwenye gari ya kukodi. Dar- Moshi. Walipofika mwanga, jamaa mmoja kasema oya ukishuka pale stand niletee maji...
Mzazi: mwanangu walimu wako wameniletea barua kuwa wameshindwa kukufundisha, hufundishiki
Mtoto: Baba hata we mwenyewe si unasikia siku hizi walimu hawafundishi? Tatizo si mimi ni walimu hawafai
Kijana wa kiume miaka kama 19 hivi karudi nyumbani akiwa kachoka na macho ni mekundu. Ile anaingia tu sebuleni kamkuta baba yake anawatch TV na baba yake akamuuliza na mazungumzo yakawa hivi...
Wana wa bodi habari zenyu.
Katika safari ya Safina ya Mtume Nuhu, palifikia wakati Nuhu akawa hajui lini safari itafikia ukomo. Aidha wanyama waliokua ndani ya safina waliendelea kujamiana kama...
hbr za mwisho wa juma wanajf, hv ni tabia gani iliyowahi/inayokukera ambayo ulitake time kuiacha/ unashindwa kuiacha. mf. me nilikuwa nakerwa na tabia ya kutafuna kucha, ilifka wakat mpak vidole...
Aunty: How many of u prayed this morning?
Romade: aunty I prayed
Aunty: alright romade, what did u pray for?
romade: i prayed that my uncle's car would break down when we go out together...
jamani sio mbaya ukituarifu utakuwa kiwanja gani weekend hii na kama ikiwezekana utakua na nani pande hizo.!! kama upo lonely ndo usisite kabixa kuomba kampan...
ka kawa weekend yangu ndo naianzia...
Sawa, inaweza ikawa ni tetesi, lakini kwanini isishughulikiwe kitetesi-tetesi?
Nimeikuta Fesibuku hii habari, nikaona sio mbaya nichungulie huku, through Google nimeiona, ila kwa ndani wameitoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.