JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jaman hii ni Ligi ngumu sana,haisomeki wala haieleweki,na haijulikan nani atashinda,,,,, Kuna baadhi ya wadau husema kabisa kuwa Ligi hii haina formula,kuna wakat mchezaj anafanya mazoez akiingia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ivi ni maneno gani ya kiingreza mtu akishalewa kuyatamka ni issue?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na tangazo la utawala la shule zote kufungwa kuanzia 12 -15 May kutokana na uhaba wa chakula baada ya wanafunzi kuongezeka kwa kasi kutokana na multiple ID's na kuenea kwa mtandao huu...
6 Reactions
101 Replies
5K Views
Jamaa alikuwa kitandani na mke wa mtu, mwenyewe akarudi na kugonga mlango. Mke akamwambia jamaa pitia dirishani kimbia,jamaa akaanza kubisha eti nje kuna mvua, mwanamke akamwambia jamaa ana hasira...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndg zangu. Nawapenda wote ila nasikitika kuwaambia kuwa 2taonana tar 15 . Ingawa baba kasema 2kacheze kwa majirani ila kweli kule ha2japazoea kama hapa home! Kwaherini.
0 Reactions
4 Replies
903 Views
I LOVE MY JOB . .. . . . If you don't laugh out loud after you read this you are in a coma! This is even funnier when you realize it's real! Next time you have a bad day at work think of this...
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Kuna habari kwamba ile dawa ya kufanya wazinzi au cheaters wagandane sasa imeingia bongo, na tayari watu wameanza kuichangamkia kwa kasi ya ajabu. Lengo ni kumkomesha mwenzi asiyemwaminifu ktka...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya kumpora mtangazaji maarufu wa E tv ya africa kusini Janet Mbugua nayo BBC chali baada ya senior producer na presenter wa Focus on Africa bi Uduak Amimo kuhamia citizen tv. Uduak...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Three engineering students were gathered together discussing the possible designers of the human body. One said, "It was a mechanical engineer. Just look at all the joints." Another said, "No...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Jf nilivyokumic, kila dk nachokonoa kamchina kangu, asanteni kwa kurudi tena, members nimewamic
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Jamaa: Heloo polisi hapo? Tafadhali naomba msaada kuna majambazi wanabomoa geti langu Polisi: Aise pole huku hatuna gari kabisa jaribu kupiga kelele upate msaada wa jirani. Jamaa akasubiri kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natamani nimtaje... Nipe ruhusa yako please, nataka nikutambulishe rasmi.
2 Reactions
76 Replies
5K Views
Baada ya kuwafagilia na kumponda klorokwini last time, hii ni zamu ya wadada. Ni m(wa)dada)/m(wa)mama gani hapa JF kutokana na namna wanavyochangia mambo, interect na watu wengine, mbwembwe zao...
1 Reactions
178 Replies
9K Views
Nazitamani chapati. . .chapati za kusukumwa wala so za mayai. . . Za kupika mwenyewe. . .wala so za jirani hata kama zimepikiwa chai. . Bwana akishaenda shamba. . nami nifunge kibwebwe. ...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
[BOSS TO SECRETARY] Jiandae kesho tuna safari ya kikazi. [SECRETARY TO HUSBAND] Mume wangu kesho nitasafiri na boss kikazi [HUSBAND TO GIRLFRIEND] kesho wife wangu anasafiri,kuwa huru...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Think beyond the BOX......... Thank God its FURAHIDEI..........
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Uso una misuli midogomidogo mingapi? TIP: Yule babu wa Airtel anayemfanyia mjukuu wake "mbhmbhmbhmbhmbh..." kwenye mtandao wa 3.75G ana jibu sahihi. Remember, NO CHEATING!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Babu wa kihuni alienda kituo cha afya kupima malaria na kichocho,nesi alimchoma sindano kidoleni kutoa damu ya kupima,damu haikutoka babu kamwambia nesi huwa nanyonywa ndo damu inatoka,unesi ni...
2 Reactions
6 Replies
7K Views
Dear Father, $chool i$ really great. I am making lot$ of friend$ and $tudying very hard. With all my $tuff, I $imply Can't think of anything I need, $o if you would like, you can ju$t $end me a...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna wachungaji watatu..siku moja waliamua..kwenda mapumzikoni.. wakiwa mapumzikoni...wakamua kwenda fishing..wakiwa huko..Mchungaji mmoja..akawambia wenzake.."jamani pamoja na kupreach...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom