Jamani member wa JF,
Boss wangu kabamba uzi niliochangia kwenye thread ya kivazi,
Sijui kaijuaje UserName yangu humu JF,
Kasema nimeichafua Ofisi yake kwa kusema naweza vaa vazi lolote.
Na kesho...
Baba_Enock yupo jijini Mbeya...
Kila baa ni "Night Club"...! Hii "Shaba Pub" ni zaidi ya "Night Club"
Kila baa ina madada poa wa kumwaga..! Mbeya Carnival inaongoza (imepekana na Chuo Kikuu...
Wale wote wenye mapenzi mema na nchi yetu ya chitchat naomba mnipe sahihi ili kushinikiza baraza la mawaziri alilo tangaza MUSSOLIN liwajibike. Zinahitajika sahihi kumi na moja tu (11).
sababu za...
Jamani wana JF nataka nikspend w/end hii watu wengi wamenishauri niende kona bar au buguruni
hivyo nilikua nawauliza kuna huduma gani special huko zinatolewa huko?
Ka mnavojua weekend ndo hiyo imefika na jf imebakiza masaa kadhaa iwe offline kwa siku ka tatu.!!! kwa jinsi navowapenda wana chit chat na ctaki kuwamithi nimejitolea wall yangu ya fb during the...
Wanajanv, kwa muda sasa nmekua nikijiuliza, mtajwa hapo juu...awali akiwa East Coast Team founding member na mshabk mkubwa wa usanii wa ki-makundi na uhasama! Kuna kpnd alijiimua na nkadhan Mwa-FA...
1: kujikwaa kwenye kona ya kitanda ktk kidore cha mwisho ukiwa unatoka kulala
2:kujing'ata ulimi wkt unakula
3:kuachwa na mme au mke
4:kujikwaa hadi kucha ing'oke
5:kukataliwa na unayempenda...
Kampa lifti sister duu, wameenda umbali kama mita 200 ,simu ya sister duu inaita.... anapokea , ''hi switie niko kwenye daladala ngoja nikifika ntakupigia''. Ile amekata tu simu jamaa kapaki GX...
Imagine u're in a burning house n u have the oppotunity of picking just TWO
things from the house.
Which of the follwing would u pick?
1-5 million us dollars
2.Ur mum
3.Ur 5 yr old child
4.Ur...
Hii tabia ya baadhi ya Wanaume/wavulana kuwachungulia Wanaume wenzao bafuni wakiwa wanawaoga huwa ni dalili za mabadiliko ya mvulana kuwa shoga.
Mytaka Haiwezekani
Kwa wale akina dada/wamama ambao hawajaolewa ni kuwa wanakuwa wamepigwa mimba.Kwa waliolewa ni wajawazito.Habari ndo hiyo napita mtaani tutaonana baadae
Wana JF mpaka sasa sijui ni kwanini nimeachwa katika uteuzi wa wakuu wa wilaya walioteuliwa hivi karibuni SIFA ZOTE NNAZO!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Naomba kuwasilisha
Jamaa mmoja katika baa moja mjini...
Jamaa:Mhudumu nipe kinywaji na kila mmoja mpe kinywaji humu ndani
**Maana wakati mimi napata kinywaji lazma kila mtu apate kinywaji...
(BEER)
...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.