JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa kaingia Bar; Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji, Jamaa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamaa anapiga simu ofisi ya Makumbusho ya Taifa: "Haloo, hapo ni Makumbusho ya Taifa?" OFISI: "Ndio, tukusaidie nini?" JAMAA: "Ok, naomba mnikumbushe mwaka juzi saa yangu niliipoteza wapi?"...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pedeshe yupo Coco Beach na wale wa kwenye luninga. Pedeshe: Hani ulisema birthday yako next week? Hani: Yeah Pedeshe: Nataka nikununulie kitu unikumbuke daima, unaona lile vogue jekundu pale...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
John Kitime | Facebook Kazi zingetajwa kwa majina haya wengine tungezifanya tu hebu fikiria; 1. Shamba Boy - Landscape Executive and Animal Nutritionist 2. Haus gelo - Domestic Operations...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
kiongozi wa nchi moja, alitembelea uingereza. katika maongezi na malkia alimuuliza siri ya mafanikio ya nchi yake. Naye malkia akamwambia kuwa hupima busara za wasaidizi wake, kabla ya kuwateua au...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimethibitisha kabila la kimasai linaongoza kwa kuchapia lugha ya kiswahiri na mifano ya maneno wanayochapia nakupa kama unabisha nipe mifano ya maneno ya kiswahiri yanayochapiwa na kabila...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
ingekuwa vipi guest house zingewekewa cctv...... wanajamvi weka yako "ingekuwa vipi"
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamani kuna mtoto amepinda mpaka basi! amenichekesha, amemdai dingi yake amnunulie vitu kibao. Ngoja na nyie niwachekeshe kabla JF haija collapse usiku huu. Huyo mtoto yuko sekondari, akampigia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
haya kumekucha na makucha yake kama kawaida mi lazima nikujulie hali wewe mwana jf, jaman ila nataka nijue leo umevaaje? Umetokelezeaje judgement swir,mbuty,kongosho, firstlady1, b52, young...
4 Reactions
142 Replies
8K Views
Or is it just a fallacy that everyone hates Monday mornings? Yes it's back to work and school but is it really any different to any other weekday morning? Discuss please...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimewahi kuishi mikoa mingi hapa Tz toka nikiwa mdogo Arusha/Dar es salaam etc lakini kwa uchunguzi nimegundua wahindi wao wanaishi mijini tu, mfano kwa wakazi wa hapa Dar es salaam nadhani...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajf mtaani huwa nakutana na haya majina dada zetu wanaitwa. Demu manzi mtoto kitoga sukari..... Ebu ongezea ya kwako.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu nilikuta na viatu vizuri sana ambavyo sijwahi kuviona tokea nizaliwe. Nikaamua kuvinunua kwa ajili yenu ili niwape kama zawadi maana kuna watu wengine humu ndani kama TANMO...
4 Reactions
67 Replies
5K Views
Usishtuke hii mada hapa ndo mahala . Tuongelee story na history za somo la hesabu. Hili somo liikuwa moja ya changamoto kubwawangu ( Naamin wapo na wenzangu wengi tu) .Iwe nishule za msingi...
1 Reactions
40 Replies
14K Views
....at least give him some Brain For the kingdom, the power and the glory are yours. Now and for ever. Amen
0 Reactions
5 Replies
1K Views
heheheheheheee............mtaani kwako kuna vituko gani hebu tu-share kidogo huku kwetu kitaaani kuna vituko saaaana, kuna mlevi mmoja wa banana beer huwa akipita kila siku utasikia tu akitukana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Its annoying how some men spend so long time. 5 minutes should be the maximum.
0 Reactions
0 Replies
639 Views
...well, najua alituaga hapa kuwa anaingia underground kwa sababu ya mambo yake fulani lakini kama kuna mdau ana taarifa zake aniambie tafadhali! Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Ebwana jana nilisikia jingle flan hv kuhusu promo ya fiesta ndani yake nikasikia maneno ya rose mwalusamba akitamka im very glad im very sorry,kama kuna mtu wa klauz naomba mtujuze conexn ya rose...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kujaribu ni mara moja tu...atakayetoa jibu sahihi kuna zawadi nzuuuuri atapata. (VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA)
0 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom