JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimerudi zangu toka kazini na kufikia katika sofa hapa sebuleni kwangu. Nikaamua kuwasha ka-tv kangu ka nchi kumi na nne ili nijiburudishe na kupata taarifa. Baada ya muda nasikia sauti ya Pinda...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Jamani vp jpili inasemaje? tuichangamshe siku yetu kwa kujikumbusha yale maneno yanayoandikwa nyuma ya dala dala zetu, vipo vijineno fla fla na mafumbo mbali yanafuraisha yanaandikwa nyuma...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna mshkaji alirudi usiku akiwa amelewa chakali. Alipofika chumbani alikuta mke wake keshalala fofofo ile kuangalia pembeni akaona glass ina kimiminika cha njano ndani yake. Jamaa akajua moja kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wajameni mpangaji mwenzangu kila siku ananitambia kuwa mambo na vitu vyote vizuri Tanzania vinatoka Mbeya. Nililikataa hili lakini siku zinavyosonga mbele nakaribia kuamini. Niiongezeeni data ili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Aya we utafiti umebaini kuwa ni yanga ya tz ambayo imepigwa gori 5 kwa mkupuo. Nenda ktk google mwana.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baba na mtoto Baba: Mwanangu ukiwa na hasira unafanya nini? Mtoto: Naenda chooni. Baba: Chooni? Kufanya nini? Mtoto: Kusafisha. Baba: Halafu ndio hasira zinaisha? Mtoto: Ndio nasafisha choo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
i have taken it from somewhere there. A student at college had failed his final law papers and was obviously not happy, he questioned the professor & decided to make a deal with him...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
Wapendwa wana JF wenzangu, ninapenda kuwatahadharisha watumiaji wote wa facebook waliopo katika jamvi hili hata wale ambao hawapo katika jamvi hili kuwa makini pale mtumiapo facebook maana leo...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni jini mahaba, anaenda kwa jina la Maimuna! Just imagine her kama Jlo, Jokate or Hadija Kopa, ndivyo atakavyo appear! Once u have her in ur dream ndivyo utakavyo yern for more! Gals u r not...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Kama mpo hebu tupeana mashavu wana au vp? Me ni Edward wa Chuga npo hapa hapa xul 2taftane japo matcha wanaleta za kuleta khs 4ne!
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Jamaa aliingia baa akiwa na bastola na kukuta baa imejaa watu , wengi wakiwa mwanaume na mwanamke. Akasimama katikati ya baa na kupiga risasi moja juu na kutamka kwa sauti. "NAMTAFUTA MKE WANGU...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mama mmoja kaenda sokoni kununua kasuku.Aliwakuta kasuku watatu,wa kwanza anauzwa $170,wa pili $100 na wa tatu $10. Akahoji;'kwanini huyu kasuku wa tatu anauzwa bei rahisi,akajibiwa,'ndio,anauzwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
waziri Mkuu - erickb52 waziri wa fedha - excellent waziri wa ulinzi- kingkong III waziri asiye na Wizara Maalum ni - Kongosho kwa sababu yeye mwenyewe hatumueelewi!
5 Reactions
238 Replies
11K Views
Nidhaili huyu ni mahili lakini huyu mahiri nidhahili na pata tabu kufahamu umahili wake Hasa tusomapo mashahiri yaliyomahiri nidhahili sisitahili hata kugusa shahiri lake Anastahili kuitwa fahari...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Sijawahi dhani hili litantokea mimi..nimetoka zangu moshi na saibaba la karatu linapita moshi saa saba hivi.. nikapitiwa na kijiusingizi kwa sababu huko nlikotoka mambo nimeacha shwaari!! Sasa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Inaelekea saa tano za usiku sasa, Daladala sizioni, na simu ya mama Ngina haipatikani…………! Haya mambo ya kwenda shamba jioni ndio madhara yake, ngoja nitafute Guest...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
''we mwanaume gani,unaskia raha tu mi nakuja kwako wala hushangai napendezaje,huoni mapafyume nnayonukia wala huushangai. Unashugulika wala sh 10 hunipi,cji tena kwako''
1 Reactions
5 Replies
929 Views
tafadhali kama ulishaliona tangazo hili, piga kimya...MUTE!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wakuu mimi sina la kuongea, vipi tukizomewa na mashabiki wa simba tuwajibuje? naomba mnisaidie, naona aibu sana. lakini refa kawapendelea simba, yaani anawapa penalt nne!?. hii sio haki. kama vipi...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ondoa neno moja moja kutoka sentensi hii.<1>Oooh boy please don't touch me at all!.<2>Oooh boy please don't touch me at.<3>Oooh boy please don't touch me.<4>Oooh boy please don't touch.<5>Oooh boy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom