JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani wadau wa MMU,mwenzenu nasumbuliwa na mafua balaa,nimeshndwa hadi kuhudhuria pindi leo.niombeeni nipone haraka,pia anae jua dawa ya mafua anisaidie,maana yananinyima raha mwenzenu.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Njemba 1 ilikua imelewa, ikawa inatembea road mara ikaona taa 2 mbele, kulia na kushoto, ikasema hawa bodaboda vp; ikasimama katikati ya road; da kushangaa kidogo kumbe ni bonge la fuso limeshika...
0 Reactions
1 Replies
831 Views
Ukiwa Mandela rd utawaona vijana wana mifuko ya plastic wanakinga mafuta kutoka kwenye tank za malori. Je mafuta hayo wanayapeleka wapi? Nimejaribu kuwauliza hawakunipa jibu.
0 Reactions
6 Replies
931 Views
​A secretary complained about her boss..... She said, "My boss is so sex-crazed". Every time he comes into the office, I must do the LAPTOP position and then the DESKTOP position, followed...
0 Reactions
0 Replies
782 Views
beibe nasty nina mwezi mzima jino linanisumbua sasa leo nimeamua nijiandae niende hospitali mwenzenu.
1 Reactions
60 Replies
4K Views
kulikuwa na vuguvugu kubwa kuhusuana na hizi fulana. sasa sijasikia tena hili suala. wala sijaona mdau yoyote popote kavaa nembo ya JF ilhali kuna jeshi kubwa na wana jf humu uraiani. niwaulize...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna msukuma mwenzangu huku nilipo,ni tajiri sana wa ng'ombe mzee huyu haja soma hata lile darasa la popo hata kiswahili cha kuombea maji hajui ila humdanganyi kitu katika kujua hesabu ya ng'ombe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Alikuwa anakwenda kwa Id hii:INDUME YENE. Sijamwona humu jamvini muda mrefu sana. Je amebadili Id au?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Swali Special kwa usiku tu. Hapa A-city baridiii........ Vipi hapo ulipo ushalala au unafanya nini?
0 Reactions
28 Replies
2K Views
kuna jama alikuwa anamlalamikia dem wake ile mbaya MAMBO YALIKUWA HIVI. Jamaa: kwanini umeniita nije kwenu wakati we haupo ! Dem: jamani dia si uliniambia siku kukiwa hamna mtu nyumbani ndo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya mambo ukiyafanya kutokana na hali na mazingira jamii inaweza isikuelewe je unalijua hilo? 1. Mchungaji kukutwa bar ukiwa mitungi kinoma 2. Kuvaa suti huku ukiwa na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
About 3 days ago nilituma post yenye kichwa cha https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/262887-have-u-guys-watched-the-latest-ifm-sex-tape.html Mpaka sasa hivi nimeshatumiwa emails 180 na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mimi ………………. Naapa kwamba, nitakuwa mwaminifu na mtiifu kwa Jamiiforums na nitaipenda na kuitumia kwa moyo wangu wote hadi pale kifo kitakaponitenganisha na Jamii forums, na hata huko ahera...
0 Reactions
5 Replies
962 Views
Huyo mwenye flana nyekundu ambaye ameshika fimbo ni Invisible a. k.a Robotics
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Je kwanini rais asingeteua wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wasingekuwa wanatoka katika mikoa husika mfano mkuu wa mkoa wa Njombe awe anatokea Njombe na mkuu wa wilaya ya Makete awe anatokea...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
...kutokana na manjonjo...utashi...utani na namna ya kuishi na watu/jamii...unafikiri nani humu JF anaweza kuwa mshiriki bora wa Big Braza?...Na akatuletea ushindi? na aambatane na nani?kama...
3 Reactions
64 Replies
5K Views
mambo wapendwa, naomba kuuliza eti kijiji cha kilala wilaya ya Arumeru wenyeji wake ni kabila gani?
0 Reactions
0 Replies
998 Views
Siku moja bana nilikuwa hotel fulan! Wakaingia kwa pamoja Mzungu na Msukuma mmoja muuza ng'ombe! Ilipofika wakati wa kuagiza vyakula: MZUNGU; Waiter bring one cup of coffee. Sasa yule msukuma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Usafiri daladala-Majanga Mavazi ya kina dada-Majanga Huduma za afya-Majanga Vita Malaria-Majanga Vita UKIMWI-Majanga Vita TB-Majanga Vita Madawa-Majanga Bei ya bidhaa-Majanga Usalama wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom