Kijana emeshindwa kupata vigezo vya kumpata mke amtakaye. Amemshikisha baba yake katika hili. Baba yake amempa vigezo:
1 ukitaka mweupe-nenda tanga na kili
2 ukitaka mweusi-nenda...
Pedeshe mmoja likuwa akiendesha gari yake, bahati mbaya mtoto mmoja akawa anavuka barabara hivyo akamgonga na mtoto akafa palepale. Akatoka ndani ya gari lake akajaribu kumchukua mtoto ampeleke...
Devi kamwona mwenzie waliesoma nae siku nyingi akiwa amejiinamia kwa masikitiko kwenye baa. Akamsogelea,
Devi: Aise Abuu, habari za siku nyingi?
Abuu: Safi japo si safi sana, nina mawazo sana...
Nimetoka mahala huwa napata mtori majira ya asubuhi
nikakuta kada mmojawa ccm; tena kijana basi.
saizi yenu hiyohiyo ya vijana wa chadema.
Inaelekea kuna mtego umewekwa.
CCM wanasuburi...
habari zenu?
poleni na majukumu.
najaribu kukumbuka shule tulizopitia katika mfumo huu wa kitanzania wa kufuta ujinga.sasa km na ww ulipitia hilo chama hebu tukumbushane mazuri na mabaya ya...
Jamani kwani kuwa raisi lazima uwe na madigrii mangapi? Mi nataka kwa raisi bana huitaji kuwa msomi sana busara inatosha! Niungeni mkono 2015! Kura za JF tu peke yake zinatosha kuniingiza pale...
Ongeeni, ongeeni midomo isiwanuke. . .
Semeni semeni mpaka yawashuke. . .
Mie nimejitulizaa, wangu mi aniliwaza. .
Yani kama ni mchezo umepata mchezaaji. .
Kama ni igizo limepata mwigizaji...
well nafkiri nisiwachoshe sana niende kupiga wazi hii maada gonjwa linaitwa FACEBOOK ADDICTION yaani uraibu wa facebook wengi wenu mnalo ila ni vigumu kuliju bila kujuzwa symptom zake ni hizi...
At reast now I can lest!
My lesponsibirity was to lesearch
and lesponding to quelies that
plotruded since leallangement
was lescheduled.
Intellogating the comprainants on
levoked intligues...
Mnaojipitisha kwenye viwanja vya ndege na kukaguliwa kwa kisingiozio cha kutafuta magaidi, mtambue kila ulichonacho, kila ulivyo, unaonekana. Wanakucheeeeeeeeeka!
January Statistics On...
Kama isingekuwa biashara ya utumwa iliwapeleka America kwa mwonekano wao...
Lil wayne- angekuwa Mmakonde.
50 cent- msukuma.
Chris Brown- Mnyaturu
Birdman- Mmang'ati au Mmasai
Michael Jackson-...
jaman watu hawa siwaon, husninyo, charming gal,sun wu. Mtalingolo, kingkon,kongosho, mbuty,tindikali au mi ndo sionekan loooh msinifanyie hivo mwenzenu.kama upo hebu jitokezee n kama wajua hawa...
Someone asked an old man: Even after 90 years, u still call ur wife Darling, Honey, Sweetheart etc. What's ur secret? Old man: I forgot her name 10 yrs ago n I'm afraid to ask her.
kwa jokes...
Things u will see in D̶̲̥̅̊ heart of a man and a woman
A MAN HEART.
=Childrens School fees
=Electricity bill
=House rent
=Business for him n spouse...
vipi ma greater thinker...wakuu wa mjengo huu,mi bado bachelor ilaa nimekuwaa kwa miaka mingi nikifikiriaa na kuwazaa jamboo mojaa...NIMEKUWAA NIKIUZURIA HARUSI NYINGI SANA,ILAA SIJABAHATIKA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.