JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mchungaji: Halleluiah x3 Mkalimani: Mtakula Halua x3 Mchungaji: My name is Doctor Livingstone Mkalimani: Jina langu ni Mganga Anayeishi kwenye jiwe Mchungaji: I am coming from Johannesburg...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
AMSHTAKI MWANAMKE ALIYEMN'GAN'GANIABwana mmoja nchini Ujerumani amesema atafungua mashtaka dhidi ya mwanamke aliyemfungia ndani kwa muda wa saa tano mfululizo na kumalimisha kufanya naye mapenzi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
wanandugu wenzangu, nipo kijijini kwenye msiba. Imefika usiku huu watu wamerudi majumbani kujipumzika. Moja ya ndugu zangu mara ghafla amepandisha mashetani kilianza kama kwikwi, mara...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
hivi ss hv hii movie ndo kama ina reflect alichokusudia kuelimisha wajameni au
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Mimi nilikuwa mara nyingi nikigoogle ili kusoma vitu vingine navyotaka nakuta naambiwa niweke username au nifanye registeration ndo niweze kufungua. so siku moja nikaamua kujirejista niliyoyakuta...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katiba ya Marekani ina KURASA 6 tu!
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa mwonekano wao Lil Wayne-angekuwa mmakonde 50-Cent -msukuma Ne-yo- Mkinga Chris Brown -mnyaturu Birdman -mmang'ati au mmasai Michael Jackson -mbulu Rick Ross -Mkurya Nicki Minaj-Mmeru...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mi ni kijana rijali,natafuta msichana ili tukielewana awe mke wangu wa ndoa, awe mkristo,mzuri,co wa kichina, muelewa na mvumilivu katika maisha! Ni haya tu wanajamii, atakayependezwa naomba ani...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Contest: Beer vs. Pussy A beer is always wet. A pussy needs encouragement. Advantage: Beer. A beer tastes horrible served hot. A pussy tastes better served hot. Advantage: Pussy. Having an ice...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Wewe una miaka mingapi kwa Mungu? Chukulia mtu wa miaka 40 hapa duniani, kwa Mungu ana umri gani?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Welcome to the 21st century: Phones-wireless. Cooking-fireless. Cars-keyless. Food-fatless. Youth-jobless. Leaders-shameless. Relationships-meaningless. Attitude-careless. Feelings-heartless...
0 Reactions
2 Replies
598 Views
Njemba hiyo iliyopewa jina la Yanga kutokana na meno yake kuwa ya njano mno...ilimuua Simba mla watu kwa mkuki huko maeneo ya Muswimbazyi karibu na mbuga ya wanyama Mikumi. 'nilimchoma sehemu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
There has been a suggestion that more babies are born at Full Moon. Let us test this. What was the phase of the moon when you were born? Wakati Boflo anazaliwa moon phase ilikuwa nusu (50%)...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Haya ni majibizano kati ya mama mmoja na wanae wawili aliowaacha nyumbani baada ya mlo wa mchana. Ninyi watoto. Nani kadokoa mboga zangu? Mtoto1.:m cjui mtoto2.:hata m cjui mama.:ninyi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani FLD ndio nini?????haya majaaa wameniandikia kwenye matokeo yangu ya form six!!!!!!naona kuna kila sababu ya kuvunja muungano. Ebu nipeni ushauri nifanye nn...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Nilikuwa ktk daladala. Nikawa nimesikia kwa kuibia kuwa mkuu wa zamani wa shule ya pugu hadi mwaka 1994 na hatimaye kuhamia Tambaza Mwl Amon Mtera pamoja na mke wake mama Mtera kuwa walifariki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mama wa kijaluo alienda hospitali baada ya kujisikia mwili hauko vizur, alipofika hospitali mazungumzo yake na doc yalikuwa hivi doc : mama unasumbuliwa na nn mama : hapana kojoa doc : enhe hlo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Santa and Banta are two friends and Santa Singh has a very good job. Banta Singh is jobless and one day asks Santa to help him get some good Job. Santa singh says, “OK, next time we will apply...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nimekutana na hili gazeti Superstar ingawa la muda kidogo (20 April 2012) na moja kati ya habari picha yao imenivunja mbavu nikaona si vibaya kuShare nanyi. Soma maelezo ya picha kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom