JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
On a second thought, mbona wanafanana na watu fulani hapa JF?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
'upendo wa mtoto kwa mzazi unategemea malezi ya mzazi kwa mtoto, usitarajie mapenzi ya mtoto wakati kwenye malezi yake hukuhusika' tafakari mzazi
2 Reactions
8 Replies
1K Views
When you don't want to marry your girlfriend, just say: baby,you know i love you very much and care about you,i just bought a 20 carat gold ring and i'm planning to propose when Arsenal wins both...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A man waved his wife goodbye as he was traveling out of town with the driver to drop him at the airport. On his way, he remembered he forgot an important document and returned home. His wife...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
swali langu ndio linamlenga huyuuuuuu
0 Reactions
21 Replies
5K Views
1.Thread za kijinga. Ongeza nyingine.....
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Jumapili nimeamkia salama kabisa namshukuru Mungu, church nimehudhuria kama kawa, nimerudi nimefungua jf kuchungulia nipate mawili matatu, ila kwa lunch ya mchana bado sijapata ila nimepanga...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Pendekeza ni habari gani ziwepo. Zifuatazo ni habari ambazo zitapewa kipaumbele: --Ni mwaka wa Vibabu vya JF,, wengi wakiri kulizwa: -Yupo Mod Maarufu wa Kike. -Smile naye alilia penzi la...
10 Reactions
162 Replies
9K Views
Jamani kama sio kufuru, tumuelewe vipi, Tajiri mmoja amenunua mchoro(canvas painting) jina scream a,k,a mayowe kwa bei ya dola za kimarekani milioni 120. Huyu tumuelewe vipi? Was it worth it?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Enyi member wa Jf,nilikuwa kimya mda mrefu nikisubiri heka heka za KTMA ziishe,sasa nimekuja toa dukuduku langu. Mmebandika picha yangu na mdogo wangu na mama'angu stejini (Hadija Kopa) ktk Jf...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hi
Habari wanajamii,tupo pamoja
0 Reactions
7 Replies
840 Views
Hawa jamaa siku hizi si wakatili kama zamani, ukiingia kambini kwao bila kujua na ukijieleza vizuri unaachiwa. Na bahati mbaya ukikwaruzana na mwanajeshi mtaani haendi kuita wenzake kama zamani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
mlevi mmoja anafanya mapenz na mkewake!mara akash2ka akamuuliza mkewake!! MLEVI-mmh leo matiti yako yamekua makubwa alafu hata chuchu sizion! MKEWAKE-we unanlamba **** cio matiti!koma
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Jamaa mmoja alituma M pesa kwa bahati mbaya akamtumi Zuzu. Zuzu aliposhtukia katumiwa na mtu asiyemjua harakaharaka akaituma kwa Janja rafiki yake ili kuwapiga chenga wenye mtandao. Baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Letters 'A', 'B', 'C' & 'D' Do Not Appear Anywhere in the Spellings of 1 to 99 (Letter 'D' comes for the First Time in Hundred) Letters 'A', 'B', & 'C' Do Not Appear Anywhere in the Spellings of 1...
0 Reactions
0 Replies
666 Views
Habari zenu wakuu madadaz na makakaz, nimesikia uvumi nikiwa kwenye daladala nikaona bora nije kuuliza hapa jamvini, kwa kuwa hapa ndio sehemu tunayopatia habari za nchi nzima, nimeona bora...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mama mmoja huko Uingereza amelazimika kuomba talaka na kuachana na mumewe kutokana na mume huyo kua msafi mpaka kero... mama huyo alivumilia mengi lakini hivi juzi alishindwa kuvumilia baada ya...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
mtoto mmoja alimuuliza mama yake nini maana ya kubeba mtoto mgongoni wakati mtoto anamiguu wakati huo mtoto huyoyupo mgomgoni akamwambia kwa sababu mtoto mdogo anatembea kwa fujo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa anawapigia stori ya uongo wenzie jinsi alivomkimbiza swala mpaka akamkamata,alipofika sehemu amemshikia chini mara simu ikaita akaongea kama dk 5 akawa amejisahau wapi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ningefulahi sana kuwajulia hali nadhani yapata miaka zaidi 25 yrs, lakini hy si haja dunia sasa ni kijiji, kwa yayete anaye wajua awajulishe na pia anijulishe
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Back
Top Bottom