Vizuri kula na wenzako, sio mbaya leo nmejisikia kuwatoa out wadada watatu wa jf kwa pamoja..
its juc simple, unaandikia bajeti yako ya usiku mzima wa leo,
kwa wale watakaokua na gharama kubwa...
kuna padri mmoja alikuwa anafuga kuku siku moja akapoteza jogoo wake. Akaingia kanisani kutangaza
PADRI:jamani nani ana jogoo?
Basi wanaume wote wakasimama
PADRI:duh!sijamaanisha hivyo jamani...
A 5 Year Old Boy ask his Mother, "o all Angels Fly Mother: Yes Dear, Why Do U Ask? Boy: Well Yesterday while U were at the Salon, Dad Called Our New House Girl an Angel. Will She Fly too...
nipeni muongozo jaman, ivi kama ni ticha kutembea (ku Do) na denti nikosa mbona hawa madenti wanamegwa na mizee, madereva makonda wapiga debe wauza mitumba sasa iweje eti kujiachia na ticha bonge...
Sina hakika na nilichokiandika au la, kwa kuwa mambo yamekuwa mengi.
Haya, ngoja niweke post yangu.
Karibuni nyumbani kwetu wali umekuwa adimu, kisa bei. Sasa na Ugali nao unaelekea kubaya, kilo...
An house wife was on her way to an hotel wit her boyfriend when she saw the husband coming out of the hotel with a girl, on sighting the husband she immediately said "i catch u today". Thank God i...
Hakika wewe kama ni si mswahili nimesema usisome mlolongo huu [thread] HAYA SASA HII SHATI YA WEWE??????
Na eti kweli nimeambiwa Mwalimu Mkuu ni Mamaako eeeeeeeeeh??????
Na unakaa wapi weye...
i'm at my grandparents house and they are both still alive. it's a special day of the year but i dont remember which one. we have a family tradition on this day that we strip down naked and then...
kuna kitu cheusi kama giza na cheupe kama barafu. Ni haramu kuliwa na ni halali kunywa. Kina herufi 5 na kinaanza na herufi M. Kinatumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na wanawake mara moja katika...
kuna program ita anza muda si mrefu na makampuni yanayojifanya eti they are fighting against AIDS, hii program italenga mahusiano ya mwanaume na mwanaume wafanye ngono salala, waingiliane bila...
hbr za ucku wanaf,jaman kuna ndoto huwa inanisumbua sana. huwa naota nagombana sana na dada yangu wa tumbo moja. iwe ni ugomvi wa maneno kupgana au kutukanana ila mara nyng huwa ninamshinda...
Habari wandugu, je wewe siku yako ilikuwaje ofisini kwenu, majambo na vibweka kazini ,mikwara ya bosi, nani amekuharibia 'mood', tuambiane wandugu ,tubadilishane mawazo na kupeana uzoefu..mimi...
Namba ngeni ilimpigia huyu demu then ika anza ku mwambia...NAMBA NGENI ; hallo! mrembo!...una boyfriend?!
GIRL ; yap ninae kwani we ni nani?! NAMBA NGENI ; mi ni baba yako kumbe una boyfriend...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.