JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mtoto mmoja alimuuliza mama yake, " binadamu tumetokana na nini"? Mama yake akamjibu, "zamani binadamu wote tulikuwa nyani, halafu nyani wale wakawa wanabadilika kidogo kidogo mpaka wakawa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mlitafakari hili jamani kuna vijana wengi ambao wamemalizia elimu ya vyuo na hawana ajira kila wanapokwenda kuomba kazi sehemu wanaishia kufanya interview bila mafanikio,wakati huo huo...
1 Reactions
0 Replies
740 Views
Nikirudi nikute li breaking newsssssssssssssss moja tu!! Natabiri Pinda waziri mkuu Membe mambo ya ndani magufuli ujenzi dr nkya ustawi wa jamii ...n.k
0 Reactions
3 Replies
791 Views
:spy:Mtu yeyote unapoitwa doctor lazima uwe na upana mkubwa sana wa kujieleza binafisi au kundi.kwangu mimi nimegundua kuwa ni mtu asiyefahamu kabisa nini anaongea,nakumbuka siku aliposema kuwa...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Tufungulieni jukwaa la astrology,ukiamka tu asubuhi unasoma nyota yako jamvini,huna haja ya kusoma magazetini. Mfano leo kwenye gazeti mashuhuri la jf udaku nyota yangu inasema: Haja ya moyo...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Jamaa alichungulia kwa kinyozi akauliza, "Nataka kunyoa nirudi baada ya muda gani?" Kinyozi akajibu,"Niko bizi rudi baada ya masaa mawili". Baada ya wiki jamaa akarudi tena, akauliza swali...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Napenda sana kuwepo katika hili jamvi, naombeni mwongozo
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Eti jamani fungu la nyanya la sh 200 ni bei gani??
0 Reactions
3 Replies
840 Views
Jamaa kahisi kiu akaomba maji kwenye nyumba moja mtoto akamletea maziwa jamaa akanywa fasta kisha akamuuliza mtoto kwa nini amempa maziwa mtoto akasema panya alidumbukia hivyo hawayahitaji jamaa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakubwa wangu, ndugu zangu, rafiki zangu na members wooote, Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Nakutakieni Ijumaa njema yenye baraka na afya. Mwaminifu mbele ya M/ Mungu ni yule=...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
mfano enzi hizo kila mtu mwenye panki tulijua ni polisi.
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Bibi akitafakari jambo kwenye kikao
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa alipokua akitoka nyumbani kwake asubuhi, alistushwa na sauti iliyokua inatoka nyuma ya nyumba yake..alisikia sauti nzito ikianza kwa kukoroma “Mhnnnnn……Ukitoka tu nakumeza…..Mhnnnnn….Ukitoka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni wiki sasa huyu mwanangu Cantalisia na wenzake King'asti, TaiJike, Asnam, na yule mnoko MwanajamiiOne wananikwepa kunifundisha namna ya ku-log in kwenye JF na haka ka-simu kangu nilikokanunua...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu jamani.kutokana na mambo ya kazi sijamuona mama watoto kwa kitu kama mwezi hv.sasa nipo moshi kwenye seminar na inaisha leo na ningependa kumnunulia zawadi ya chupi au lingerie lakini...
0 Reactions
4 Replies
990 Views
A man walks into a pharmacy, buys a condom, then walks out of the storelaughing hysterically. The pharmacist thinks this is weird, but, hey, there'sno law preventing weird people from buying...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Mwanakwaya anamlalamikia padre: "Padre mke wangu hajui kufanya mapenzi kabisaa mi namwaacha haki ya nani!" PADRE AKIJIBU KWA CONFIDENCE: "si bora mkeo anajua kidogo mke wa mpiga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
...Mwanamke mmoja aliingia duka la dawa na kuomba auziwe sumu. Mwenye duka akamuuliza: " Ya nini hiyo sumu unayoitaka?" Mwanamke: "Nataka kumuua mume wangu". Muuza duka: "Mungu wangu! Nikuuzie...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF A man approached a Nigerian girl,during sex the Nigerian girl asks the man.Why didn't you use condoms?Man replayed i don't have them,she asked once more,do you have HIV?Man said...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Asalam aleykum. Mashosti ajali hii inayotuhusu kina mama imetokea hapa kwenye airport kubwa kuliko zote ulaya magharibi ambako niko transit kwa muda sasa nikisubiri boarding time kuelekea kwenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom