katika daladala mzee
mmoja akamwona binti
anachati akajisogezasogeza
nakujishughulisha hadi
akafanikiwa kumuomba
contacts,ili wachat binti akamwandikia mzee katika
karatasi...
Jamani leo nataka members wote tujadili pia tuangalie ufafanuzi na usuluhishi.
Kati ya Members wote humu JF ni member gani anayeongoza kwa kuwasababishia members wengine kupigwa BAN?
Pia ni...
An illiterate father with his
educated son
went on a camping trip..
They set up their tent & fell
asleep.
Some hours later, Father wakes
his son &
asks: Look up to the sky & tell me
what...
watu watatu walikuwa wamekaa wakijadili jinsi ya kuwasaidia masikini. Maongezi yalikuwa hivi:
MPARE:Mimi nitachora duara kisha ntarusha hela juu.zitazoingia ndani ya duara nitawapa masikini...
Vyote unavyo viona vinavyo tendeka ni vile vile vya kila leo kukubwa ni marudio tu
mara mume kampiga mke wake mara mama anatembea na vitoto mara jama alikuwa tajiri leo hii kafilisika mara...
Bila mrefu asingekuwepo mfupi!
Bila mjinga asingekuwepo mwerevu!
Bila mnene asingekuwepo mwembamba!
Bila mwanamke asingekuwepo mwanaume!!!!!
endeleaaaa!
Siku hizi kumekuwa na Tabia ya watu kukuahidi kabisa kwamba atakuletea Sapraiz,
Sasa najiuliza hivi nikiahidiwa kuwa nitaletewa sapraiz, bado ina uhalali wa kuitwa spraiz tena?
Sasa TANMO...
Si vibya nkiwakumbusha wenzangu na mimi ambao mnahangaika sana kununua vizawadi kwa ajili ya wasichana/wavulana ambao si wenu mkiwa na mawazo siku moja watawakubalia... hizo ela ni bora ungeenda...
Jamaa mmoja aliota amekufa na kuchukuliwa na malaika hadi mbinguni. Alipofika mapokezi ya mbingu akashangaa kuona ukutani kuna saa nyingi sana, akamuuliza malaika wa mapokezi hizi saa za nini...
Hii ni picha ya mpenz wangu tuliyeweka malengo ya kufunga ndoa,cha ajabu nimempeleka nyumban kwa wakwe kumtambulisha mama kakataa katakata wakati ye ndo aliyenishauri nioe kwa kuwa umri...
Ndiyo nimesema hivyo, nataka nikiamka tu nikiingia JF nikute "Breaking Newzzzzzzzzzzz" Makongoro hayupo kwenye baraza la mawaziri.Halafu John pombe maghufuli ndiye waziri mkuu.
habari za nyinyi humu ndani vipi wazima wote? Mi leo nipo so weak and mpaka sasa nimelose apetite im praying irudi haraka nikale jamani. Nimewakumbuka tuu na kama kawaida ya bebe kutoa salamu si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.