Wandugu,
kuna hii kitu kwa wachaga inaitwa "Kiruhuo Mawoko" yaani "kifungua mikono"
Kwa wasio wachagga: ni ile fedha/mali yako ya kwanza pindi uanzapo kazi/biashara unayowapatia wazazi ili...
...maisha ni MAGUMU usipime!...mafanikio yanakuja uzeeni!...wakati hata nguvu za kufaidi huna!
haya..ngoja tuendelee kusukuma kete kwenye draft la sumaku.
Jamaa katembelewa na Israel mtoa roho za watu,akamwambia leo ndio zamu yako nimekuja kukutoa roho.Jamaa kamkaribisha vizuri,kampa chakula na kinywaji ambacho aliweka dawa ya ucngizi.Israel...
Karibuni nyote wakubwa kwa wadogo to the all night praise and worship event to be held at the CTC (Upanga)..
Ijumaa tarehe 4/May/2012....kuanzia 9pm mpaka majogoo..
Nyote mnakaribishwa.
*T-shirts...
OY: May I hold your hand?
GIRL: No thanks, it isn't heavy.
GIRL: Say you love me! Say you love me!
BOY: You love me...
GIRL: If we become engaged will you give me a ring??
BOY: Sure, what's your...
Wanabodi, habarini .
Hivi mnayo habari kwamba lugha ya Kingereza itaendelea kukimbiza na kua mbele kiasi isikutwe na lugha yeyote duniani ?
Utafiti uliyofanywa hivi karibuni na wataalamu...
Dah leo jamani yamenikuta!!
Kuna binti alinilaghai nikawa nae kimapenzi,kaniharibia uvulana wangu weee na baada ya kunitumia vya kutosha sasa kanimwaga wala hanijali tena..
Roho inaniuma sana...
Kama ungekuwa wewe ungependekeza nani apewe BAN.Toa na Sababu Tatu muhimu.
Kwa mimi wale wote wenye lugha za matusi na wanaoiba wake za watu.
Ongeza jina ...
People generally like to touch things but sometimes there are things that you don't want to touch.
-Cotton wool - I tense up at the very thought of it.
-Other people's penises...
matokeo yametoka leo mei mosi! Yani sijui kama utanipongeza au utanisodoa poa! Niliaga mkanipa baraka nimerudi kuripoti nilichokifanya!!
Nina acountancy B' commerce D' na economics S' lakin...
Mama nyimabondo alikuwa ameshapika chakula ndipo akaenda kwa bwana wake ambaye kwa muda huo alikuwa anacheza drafti na wenzake chini ya mwembe jirani kidogo na nyumba yao. Alipofika pale hakutaka...
Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa nimeshindwa kabisa kuiendesha Akaunti yangu ya face Book. Tatizo kwanza marafiki zangu niliowatafuta FaceBook wengi hawakupatikana na waliopatikana nadhani kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.