Ndg wana JF kuna wadada ambao nikikutana nao macho yangu uenda moja kwa moja kifuani mwao kwa sababu 'nido' inakuwa njenje na wengne wana vinywele pale na wengne wamemwagia wese panangaa! Kwakweli...
:argue:
Askari aliamua kumtuma kuruta wake kutoka kijiji kimoja kwenda kingine. Kijiji alipokuwa askari na kuruta kilikuwa kinaitwa NAKULARAHA na kile kingine kilikuwa kinaitwa NAMAMAYAKO...
I don't understand those couples that
fight and a minute later write in their
status: "am single"
I fight with my parents but you don't
see me write on status: "am orphan".
niaje wandugu.poleni sana ndugu zangu wa MAN U, ila pia huwezi kujifu una mbio bila kumsifu anayekukimbiza so hongeren pia MAN CITY kwa mechi iliyomalizika hivi punde.any way turudi ktk kambi yetu...
Nimekuwa nikisikia kuna wachawi (waganga wa kienyeji) au wasoma dua ambao wana uwezo wa kumloga/kumfanya mtu kuwa kichaa au hata kufa kabisa; sasa kama hawa wapo kwanini tusimloge JK na baraza...
BABA:Mama yako yupo wapi?
MTOTO: Yupo chumbani kwenu amelala na houseboy.
BABA:Akitoka muambie nimelala na housegirl chumbani mwa houseboy.
MTOTO: Ina maana housegirl amenisaliti?
BABA:Kwa...
Ningependa hasa kuelimishwa matumizi ya facebook. Umuhimu wake ni upi? Kwa upande wa wenye ndoa...ni sahihi kujiunga na facebook? Najua wengi mtanishangaa lakini naamini kuwa aliyeanzisha facebook...
nawasalimu wana jf wote nataka jua kama uumzima au unaumwa au unamatatizo yoyote ambayo unahis u cn share it with beibe jaman. Mi leo mzima sema kichwa kinauma
Wakuu, niliwaahidi bonge moja la thread, na pasi na maneno nimelileta kwenu
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/259357-lets-talk-about-kinyesi-2.html#post3815694
Sasa tatizo ni kuwa mods...
dah!!wakuu tujadili hili zamaniii,nikiwaa mdogo tulitishwaa sanaa kwambaa walabangii ni watu wabayaaa sanaaa,so yani ulikuwa ukiwaonaa wahuniii arusha kipindi ya kinaaa bob mbiseee,kwa bob mazishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.