JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kwa mara ya kwanza maishani mwao,mzee mmoja,mkewe pamoja na mtoto wao mtshepo walitia maguu jijini johanesburg. Walipofika jijini walimwacha mama mtshepo aendelee kufanya shopping supermarket,wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
a mdogo kabisa niliwahi kusoma novel za mtu mmoja marehemu kwa sasa alikuwa anaitwa Elvis Musiba na baadae Ben Mtobwa wakiwa na characters wao waliowapa mija ya Willy Gamba na Joram Kiango...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Inagawa mimi sio member wa siku nyingi, ila nimekuwa nikitembelea sana mitaa hii. Kwa tafsiri nyingine, na mimi ni mgeni-mwenyeji mtaani hapa. Ila kwa muda sasa sijaona posts za FF. Yuko wapi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika mkoa fulani huko kanda ya Ziwa watu walikuwa wazinzi sana, kila walipokuwa wakienda kuungama 98% walisema wamezini. Padri alikerwa sana na jambo hilo, siku 1 padri aliwaita waumini wote...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
i need to call heaven and thank GOD for a beautiful sister like you----! ... send pm to 12 sisters in jf.! blood or not.! even me if am the one!
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Kama mtanzania ninayeambiwa nina haki juu ya nchi yangu, nimeona heri nibinafsishe ikulu yetu kwa vile imegeuka yao na haiingizi faida. Nafanya hivyo baada ya kusikia maoni ya gwiji la uwekezaji...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
...COMING SOON! TOPIC: Yet to be sorted TIME & DATE: Undisclosed VENUE: Hapahapa Chit-Chat WAHUSIKA: Yeyote anayejisikia... Stay tuned! And do not even think about daring to miss it. Sawasawa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
heshima zenu wakubwa! hivi imewahi kukutokea ishara yoyote kukujulisha kuwa jambo flani litatokea? kwa mfano. kuna wengine wakiwashwa mkono hupata hela, wengine jicho likiwacheza ni ishara...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani kuna kitu kinanishangaza hasa kwa wanawake,hebu tuwekane wazi. Kuna uhusiano gani kati ya kusugua sufuria au chombo ch bati kwa mchanga na tendo la kubana meno. Au kusugua kioo kwa wembe na...
0 Reactions
3 Replies
942 Views
Very Funny Pics - Signs - otherwaystopay
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nani anakumbuka Pajero??Mimi nakumbuka pajero zinaingia nilikuwa Arusha aliyekuwa anamiliki pajero ya kisasa ni mkurugenzi wa AICC!na baadhi ya wahindi!hapo nimwaka 1989!kumbuka na wewe!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari tulizozipata sasa hivi kwenye chumba chetu cha habari zinasema jana usiku kwenye mkesha wa muungano kapos zifuatazo zili organize come together ili wabadilishane mawazo na kufahamiana kwa...
1 Reactions
148 Replies
8K Views
Unajua kila chakula huwa kina sifa zake. Jamani hapa katika utafuti wangu nimegundua yafuatayo kutokana na maharage ya mbeya. 1. Yana maji mengi sana ukiyapika sana yanakuwa uji uji mweupeee! 2...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
A man is stopped by the police at midnight and asked where he’s going. “I’m on the way to listen to a lecture about the effects of alcohol and drug abuse on the human body.” The policeman asks...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna watoto wadogo kama umri wa miaka 3 au 4 hivi,unakuta anafanya kitu halafu ukimwambia aache,hata umwambie kwa ukali ye haachi,mfano unamwambia "tupa ulichoshika"unakuta anakuangalia tu au...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Dogo Tundu alikuwa anapiga stori na dingi yake mara demu wake akatokea....! Dah...! Dogo Tundu akaamua kutumia akili ya kuzaliwa ili dingi yake asijue chochote kati yao, maongezi na demu wake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jana nimecheck clip ya baikoko hawa mademu ni nomaa yani wakifanya porn star search tanga itaibuka mshindi, halafu hayo mauno na kunua nguo yanafanyika mbele ya watoto. ndo maana tanga...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
je ushawahi kula nchuzi kwa chai , nyama kwa udongo , piripiri kwa pipi , chips kwa asali , blueband kwa magimbi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi nimemaliza A level 2012 February, naomba mtu anayejua chuo cha Malaysia, India ama Singapore ambacho sio chuo bubu cha Medicine, a recomend hapo kwenye comments address ya chuo.
0 Reactions
2 Replies
858 Views
simu gani unaikubali zaidi...?toa sababu FUPI kutokana na jibu lako NB:inawezekana kabisa ilishajadiliwa mahali, please just do it again! HAGO!
0 Reactions
100 Replies
7K Views
Back
Top Bottom