JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Babu Ayubu na prezoo ,njoo rudi nenda rudi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mei mosi hoyeee! wanajamvi habarini za mei mosi vp mapumziko kwa wale wafanyakaz, kwa wajasiriamali haiwahusu. me nina maoni. hv kwann isiwepo jamiiforum day au kama ipo ni cku gani? ckukuu njema...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Tujikumbushe post ya zamani kidogo Wachaga, Chagga, Jagga, Dschagga, Waschagga, or Wachagga MIND A CHAGGA man walks into a Barclays Bank in DAR ES SALAAM City and asks for the Loan Officer. He...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman naomben a short history of JF
0 Reactions
2 Replies
846 Views
Ndugu zangu,nimewajua freemasons muda kidogo hata kabla mtandao haujawa sehemu ya mawasiliano kwa watanzania.Mwanzoni nilikua nafahamu kwamba ili uwe freemason ni LAZIMA uwe TAJIRI MKUBWA na mtu...
2 Reactions
46 Replies
9K Views
hiv yuko wapi? Nimemtafuta japo nimsabah nimemkosa. Au amekuja kwa jina lingine?
0 Reactions
6 Replies
886 Views
Mwalimu: Maandazi matano ukitoa mawili yatabakia mangapi? Mwanafunzi: kama ukinipa na supu halibaki hata moja
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekaa hapa Counter napata Kinywaji aina ya Jack Daniel na Barafu nyiiiingi.............. Karibuni sana.......................LOL
1 Reactions
90 Replies
5K Views
Mwanaume mmoja alikuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi akiwa amepoteza fahamu kwa siku mbili. Alipozinduka akamuona mkewe akiwa pembeni ya kitanda akimuombea. Jamaa kwa upendo...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Msichana mmoja alipata mimba akiwa bado ni mwanafunzi, mama yake akamwambia hivi:- Mama: mwanangu mm si nilikwambia mtu yoyote akikushikashika maziwa umwambie "DONT". Binti: ndio mama. Mama: na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za siku mshimiwa wa JF !!! Natafuta KAMPUNI au WATU, wanayo weza kuni saidiya ku tangaza biashara kwenye magazeti mbali mbali. Plz help if anyone knows any agents for newspapers ? PM me...
0 Reactions
2 Replies
961 Views
Baada ya kupasi mtihani Bakhili alimnunulia mwanawe toy car kama alivyomuahidi, mtoto akafurahi kisha akamuuliza baba yake ziko wapi batery zake? Bakhili: batery nitanunua ukipasi mtihani wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JF mlioko mwanza city nambie kiwanja kipi kizuri nikajichanganye nanyi tufaamiane.
0 Reactions
51 Replies
3K Views
A little old lady was running up and down the halls in a nursing home. As she walked, she would flip up the hem of her nightgown and say, "Supersex!" She walked up to an elderly man in a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimewamisi jaman humu ndan n nataka jua wangap wapo mwanza pliiiz wana see u guys pliiiz vp hamjanimis jaman
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Mheshimiwa Livingstone Lusinde (MB) Mtera, duru za siasa za sema kuna uwezekano mkubwa wa kuukwaa uwaziri ili kumlipa fadhila na kumfuta machoz kwa alichokifanya katika kampeni za CCM Arumeru...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unabisha, just fill the missing words with "YES"or"NO" 1,.........i don't have a brain. 2,.........i don't have a sence. 3,.........i am stupid.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ni kijana ambae nilikutana nae kam miez miwil iliyopita,ni mtanashati,mcha mung,msikivu,mpole,muelewa!in short nampend!ana umri wa miaka 22,na mie nna miaka 21!tatizo ni kwamba,anaondoka kwenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi ukiambiwa utaje kiungo gani cha mwiliwako unachokipenda zaidi kuliko vingine na kwanini..jibu lako lingekuwa kiungo gani?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom