JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Baadhi ya dini zinasema, jisaidie na ndipo Mungu atakusaidia. Nyingine zinasema, bisha hodi utafunguliwa. Kubisha hodi ni hadi utembee na kufika mlangoni, bila kufika mlangoni hutafunguliwa. Hii...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
........ unapokanyaga kinyesi cha binadamu ukachechemea kana kwamba umechomwa mwiba!! ................. ongeza uchuro mwingine ...............
1 Reactions
96 Replies
14K Views
natafuta uzi wa kwenda kuchakachua mida hii.sijaona bado
1 Reactions
18 Replies
1K Views
During a North African campaign a bunch of soldier boys had been on a long hike, and they arrived in a little town called Casino." The next morning being Sunday several of the boys went to church...
0 Reactions
0 Replies
610 Views
kuna watu humu ndani nimewamis si mchezo yupo g. Mpolee, kongosho, liverpoolfc, Invisible, Boflooo, smile. Ao ni baadhi tu. Ukiwaona au wakija nina salam zao. Shkamoo, Mambo, Hujambo, how are...
0 Reactions
33 Replies
2K Views
Delete
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mjadala unaendele ITV watch out wana jf jinsi mrema anavyotema cheche.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Padri mmoja mzee alistaafu na wanaparokia walimfanyia sherehe kubwa. Katika sherehe hiyo, mbunge wa eneo hilo alipangwa kutoa hotuba ya shukurani ya kumuaga padri huyo kwa niaba ya wanaparokia...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
SAMAHANI SINA NIA YA KUANDIKA LUGHA CHAFU ILA HII NILIISIKIA NIKASHANGAA. Jamaa mmoja alikuwa anasema eti kwenye mpira huwa wachezaji wanabadilishana jezi baada ya mechi kama ishara ya fair...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
za asubuh jaman beibe nasty naendelea vizuri na mafua. Sasa bana kunawatu hawa wananikera hakuna mfano eti mtu anakohoa,anapiga chafya, anapiga miayo halaf hazibi mdomo halaf ukimwambia anakua...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Mwanaume mzuri akiwa na wanawake wengi huitwa... DUME LA MBEGU! MWANAMKE MZURI JE MWENYE WANAUME WENGI TUMWITEJE JAMANI....?!:mad2:
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani, hebu njoni tupige stori tu Kuna mtu kaniibia pochi yangu hapa Kariakoo nina hasira ya kula mtu mzima mzima Nahisi nataka kupandisha mori Bora niwakaribishe kwa kahawa na biya hapa Labda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mhindi alikuwa anatoa maelekezo kwa dereva wake, kuhusu kupeleka mzigo nyumbani kwake. Mhindi: Nasikia veve dureva, peleka hii kapu jumbani yangu. Ukifika jumbani ukikuta ile mke yangu TOM-MPAa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana wa jamii, milango ya saa 11, nikiwa natoka kwenye mishemishe zangu, gari yetu ikasimama maeneo ya mjini mmojawetu alikua ananua vocha. Hapo tuliposima mbele yetu kuna fundi wa simu, kwa...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Yaani for Gods sake naomba tu hii siku iishe maana nimeboreka kupitiliza! No sms tangu asubuhi kwenye simu yangu achilia mbali simu zenyewe No new email achilia mbali skype Yaani ndio kusema watu...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Kazi njema na weekend njema, tufanye mazuri na tuwafanyie watu mazuri kwani ukijifanyia mazuri siku ukifa unaondoka nayo ila ukiwafanyia watu watabaki nayo all the time.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanawake wa Uganda wamechachamaa, kwa kupinga mwenzao (Ingrid), kushikwa matiti wakati anakamatwa na polisi kwa kutembea kifua wazi. Tukio hili la aina yake limevuta hisia za wengi na...
0 Reactions
44 Replies
15K Views
Jamaa mmoja aliishi sana mjini baada ya kutoka kwao kijijini kwa muda mrefu,baadae jamaa aliamua kuoa na akaona bora ampeleke mke wake kwa wazazi wake kijjni. Wazazi wa yule jamaa walikuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tangu tuzaliwe mpaka tumekuwa watu wazima ni 95% nguvu za malezi ya jinsia za kike. Tukianzi nyumbani mtoto siku zote hulelewa na jinsia hii, mama, dada au house girl, tukianza chekechea au day...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Bibi mmoja kibogoyo alikuwa amelazwa hospitali. Siku moja alimtuma mjukuu wake amletee kashata za karanga, kwa kuwa alikuwa hana meno alifyonza sukari halafu karanga akawa anaweka kwenye kisosi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom