Wapendwa, unapoibiwa ukakosa pa kushtaki inauma maradufu.
Nakumbuka zamani pale soko la Ilala wafanya biashara wa Kuku walikua wakiwapaka Kuku wagonjwa Pilipili ya unga katika ile sehemu ya nyuma...
Kuna jamaa alikuwa anamfukuzia demu lakini yule dem akawa anachomoa,siku moja huyu dem alikuwa anafua nguo zake za ndani "chupi",jama akatokea pale na kuomba maji ya kunywa.Ile dem anarudh...
Jamaa alirudi nyumbani kwa furaha na kumwambia mkewe. Mke wangu, nimepata zawadi ya boksi la Condom za dhahabu! nimeshinda shindano la "ishi daima na condom". Mkewe aliyekuwa anataka kutoka...
Yafuatayo ni maoni ya baadhi ya wadau...
Dereva: trafiki wacwepo barabarani
Mwanafunzi: hesabu zifutwe mashuleni.
Mfanyabiashara: TRA itaifishwe.
Mlevi: baa ziwepo maofisini.
Mdau na ww...
Salam, nikaribisheni jamani hapa kwenu..mie sie mtaalam,
Naanza na hii...wewe ni bosi na wafanyakazi wanakugaya sana, siku moja umeenda haja na baada ya kumaliza wataka kuflashi bahati mbaya hamna...
Kwa kuu kama mlivyosikia kwenye vyombo vya habari,kikundi alichokua anaongoza Osama Ole Laden wametangaza kua iko wazi,mpaka sasa aliyetumam CV nia Ali Alawi, Je wewe kazi unaiweza?Tuma CV yako
kiukweli net yangu imepasuka mbaya...saa ingine naamka mguu uko nje...
kwa kuadhimisha siku ya malaria,nimeamua kuipeleka kwa fundi kuishona...be honest,net yako ni nzima?
malaria...
Nilipokuwa kidato cha pili nakumbuka nilikuwa na daftari kubwa lililokuwa limejaa lyrics za nyimbo kibao, wimbo huu ulikuwa moja ya nyimbo nilizozipenda sana na zikafanya Celine Dion kuwa one of...
Watu wengine bwana si waastaarabu hata kidogo, sijui wamejiumbaje umbaje??
Wewe unafanya kitu au jambo na mtu mkiwa wawili tu, lakini unakwenda mtaani unatangaza ili iweje? Mtu ulikuwa naye wewe...
Ndg wana JF hasa wale wazee wa 'totoz' ni hatua gani utakayoifikia ukahisi unaelekea kummiliki 'mtoto' maana mi nikipata contact (namba ya simu) tu nakuwa 50%.... possession.
Niko kwenye mghahawa mmoja katikati ya jiji, na niko peke yangu.....................Ghafla natupiwa swali hilo na muhudumu anayenihudumia.................
Nimemwambia nitamjibu nikimaliza kula.
Jaman naomba msaada, nilikua na download music. Nilivyomaliza nikataka kuplay nyinbo zote zikagoma mpaka video haziplay. Pia ring tone nilokua nimeweka imebadilika na kuita kwa tone ambayo ni ya...
Wadau habari zenu.
Post hii nimesugua kichwa niiweke jukwaa gani , iwe muafaka.
Mwisho wa yote nikaona niitupe hapa ambapo hubeba vitu cocktail .
Wadau naandika post hii nikiwa na UCHUNGU...
JAMAA mmoja baada ya kuwa na hali ngumu aliamua kufunga safari kutoka kwake Mbagala hadi Kinondoni jijini Dar kwa swahiba ili akapate msaada wa fedha apunguze ukali wa maisha.
Katika kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.