JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kama utamu upo kwenye sukari mbona vyengine ni vya chumvi nahuwa vitamu? Na kama utamu upo kwenye chakula mbona vyengine haviliwi na vitamu? Nakama utamu upo kwenye furaha saa nyengine mbona...
1 Reactions
41 Replies
11K Views
rafiki/partner ambaye tutakua fanya mambo ya maendeleo ya kimaisha na kwenda hunting, climb milima, deep sea diving, kucheza kidari na kombolela lakini NOT fall in love..... cheers!!!!!
1 Reactions
80 Replies
5K Views
Jamani vipi,kikao kipo?nilisikikia leo ataongea nao. Au bado yupo kwnye kuhani msiba Malawa?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
.. yaani wameweka page nzima ya mwisho tangazo la magamba?!!! Aaargh! Hadi kichefuchefu! Nilimelitupa na gazeti lenyewe. Mwenye moyo wa kulisoma toleo hilo atuwekee hapa habari yeyote atakayoona...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Msukuma mmoja alikua anaumwa na kulazwa kwenye hospitali moja hivi. Siku moja rafiki yake akaenda kumtembelea kumpa pole. Wakati jamaa anafika akakuta mgonjwa ana kikombe cha uji anakunywa...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Wakuu niaje? Hivi username yako ya JF inamaanisha nini? Uliwaza nini mpaka kujiita hivi unavyojiita? Naanza na yangu. Endangered. Kama raia wengi nchini wanavyokosa haki zao za msingi, mi...
0 Reactions
68 Replies
5K Views
Mimi mmoja wapo. Zilikuwa hazichelewi kukatika katikati. Basi ikikatika ndio balaa. Ukivaa itaanza kupanda taratibu mpaka itafika kifuani. Je mnazikumbuka wana JF
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Haya hapa ni maelezo ya kumtambua Mtu aliye kwenye Company au dini ya Freemanson: 1. Kila siku saa 7:00 usiku anaamka kwenda chooni kukojoa. 2. Kila akialikwa kwenye mialiko anavaa suti yeusi na...
0 Reactions
25 Replies
19K Views
Da nimekumbuka ukiwa Mwanza/Mara na Shinyanga ukauliza kipimo cha Konyagi mwitu [Gongo] utaambiwa vipi unatak pegi, mzinga, fanta, au Kibombombonya, ukiwa moshi utaambiwa unataka Kitochi.Au ukiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
What can you cook best of all Do you know how to cook? If yes, what do you know to cook best of all? I can cook everything. But best of all, the...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Nawasalimu wote ambao mko jf kitambo!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
enjoy :)
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Mchezaji wa timu ya mikoroshin fc abdul bonge aka Mess amezimia baada ya kuchezewa vibaya na mchezaj mwenzake sudi mkandila
0 Reactions
2 Replies
1K Views
jamani mei leo nimeamua kuwa MOD wa kujitegemea, na kufuatia hilo na kutokana na sababu zilizo ndani ya maamuzi na uwezo wangu, sitakuwa hewani kwa wiki kadhaa, kuanzia leo saa kumi jioni...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Chelsea ni noumer!!!!!! full kudefend mwanzo mwisho-nyie leteni mpira sisi tunabutua tu! Kweli hili kombe bila Zengwe hupati kudadadadek!
0 Reactions
0 Replies
641 Views
A man, sitting outside his home about to be evicted from his house, was contemplating how the future would be after he had divorced his wife, lost his children, lost his job. He notices a crate of...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtabiri wa nyota kasema hivi;WALE AMBAO NYOTA YAO NI SAMAKI, WATALIWA JICHO WIKI HII..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Enzi za mwalimu, mwl aliongozana na waziri wake mmoja kwenda ziarani nje ya nchi. Walipokuwa kikaoni mwl na yule waziri walikaa viti jirani sasa ndugu msomaji kwa bahati mbaya yule waziri alijamba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
...Kakadada Kongosho nakuongezea vimisemo katika store yako...! pamoja sana!
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Mtu mmoja alikuwa anasafiri peke yake kwa miguu na njia pekee ya kumfikisha aendako ilihusisha kupitia kwenye pori. Akiwa katikati ya pori alikutana na simba, akapanda juu ya mti pekee uliokuwa...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom