JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huwa najiuliza wanaume havutiwi kuvaa nguo za kike kwa nini??wakati wanawake wanavutiwa kuvaa nguza kiume kuanzia,Trouser,shirt,coat,shortpens,boxer!hivyo nibaadhi!wakati wanaume wa scotland...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
weekend moja nilitoka nikapate kilimanjaro baridi, basi kufika mida ya saa saba hivi jamaa wawili wakaanza kuzozana mmoja mrefu na umri umeendaenda mwingine kajunk tu tena kafupifupi, sasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani hawa watu nawasifu na kuwapa hongera wawe na moyo wa upendo wa kuwakaribisha wageni.sielewi kama na kwenye maisha nje ya jf wapo hivyo ila jitahidini hata mtaani kuonesha ukarimu wenu
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Nina imani kwa wale wenye mapenzi ya kweli na huu utamaduni wa maisha ya mtu mweusi (HIP HOP), wanatambua jinsi ulivyo wasaidia waafrika wenzetu wa huko marekani na sehemu mbalimbali duniani...
0 Reactions
3 Replies
960 Views
kwangu kipanya anashika nambari 1 anafuatia kingo halafumpangala a.k.a kijasti ! vp kwa upande wako mdau wa katuni?
0 Reactions
23 Replies
4K Views
baridi ndo inaanza na nimehamia huu mkoa wa watu, baridi sijawahi kuiona maishani mwangu...nataka nioge na napenda maji baridi nianze vipi jamani?siku ya tatu sijaoga sasa Nisaidie tafadhali
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Natamani UDOM kingekuwa chuo kikuu. Natamani CCM kiwe chama cha upinzani. Natamani mademu wote wawe wanatongoza wanaume. Natamani Jf member wengi wangekuwa wanatoka Tabora na siyo Arusha. Natamani...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
duh maisha yanabadilika zamani mtu akiwa na kitambi basi atahesimika na kuonekana mwenye nazo mla vizuri...leo hi mtu mwenye ndambi anaonekana lofa tu mla hovyo na asiyefanya mazoezi....mtu wa...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Ile kesi ya kumfukuza uanachama Kafulila?
0 Reactions
5 Replies
755 Views
Ukisikia mbu anakutembelea, utamfukuza kwa njia gani? 1. Kumbamiza kibao 2. Kwa kummaliza kwa makofi 3. Kwa kumbembeleza na kitambaa au 4. Kwa kumpa ofa feki ya damu ukisikia anakung'ata...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Jamani wana Jf, (Maana Jukwaa hili nalo pana) kama kuna yeyote anayewafahamu watu hawa (Nadhani watakuwa wakubwa maana tulisoma nao enzi hizooo S/msingi Ligula 2003) awasiliane na mimi, 1. Asha...
0 Reactions
60 Replies
3K Views
hapo zamani za kale palikuwa na mti mmoja mkubwa sana ili kuukumbatia unahitaji watu watano warefu! sasa mti huo ukatokeza matawi na tawi moja likawa kubwa sana ukubwa wake ukiwa nusu ya ya mti...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
I realy appriciate you mkuu, thanks for what you did to me... God bless you...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
I hope that Tanzania starts getting more tourist Websites. Kenya has one more.. Kenya Travel Info - Plan the Perfect Holiday | Kenya Explore
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Shoga mmoja alienda kwa mganga wa akienyeji apewe dawa ya kuotesha nywele kifuani, mganaga akamwambia paka vaseline kifuani shoga akamjibu kama vaseline ni dawa basi bekinya yangu ingekuwa na afro
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Man buys a Lie detector robot that slaps people who lie.He decided to test it at dinner:Dad: Son where were you today during school hours?Son: At school (robot slaps son)Son: Okay I went to the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa alienda kwa mchungaji kuungama... "Nihurumie Mungu wangu, nimetenda dhambi nyingi saana..." Mchungaji: "Mwanangu, usihofu... Mungu ni mwenye huruma saana... Atakusamehe tu..." Jamaa...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Urafiki wa MASABURI… Leo nimeamini kuwa hakuna marafiki kama masaburi… yalizaliwa pamoja; yanaishi pamoja; yanakaa pamoja; yanachapwa pamoja; yanatembea pamoja; yanavaa chupi pamoja na hata kufa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
From a friend woo! Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sunday You see why everyone prefers weekends !!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutoka Mtandaoni Yahoo Typical Female JEALOUSY A woman wanted to reach her husband on his mobile phone but discovered that she was out of credit, she instructed her son to use his own phone to...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom