WANDUGU,
jana nimesikia kuna kamati maalumu itakayoongoza sala na dua maalumu ya kuliombea taifa. dua na sala zitafanyika uwanja wa taifa. jamani yaleyale mambo ya imani, dini hizi.
taifa hili ni...
Watoto wengi wanapokuwa shule za msingi huwa hawapendi kwenda shule. Mara nyingi hii inachangiwa na tatizo la kuamka asubuhi wakati bado ana usingizi au kubanwa kwa muda mrefu wakati anataka...
Japan ilitengeneza mashine ya kukamatia wezi na kuipitisha ktk nchi tofauti kwa ajili ya kui test.
Japan baada ya dkk 9 ilikamata wezi 4,711
china baada ya dkk 15 ilikamata wezi 11, 507
Nigeria...
Most 'First Class' students get technical seats, some become Doctors and some Engineers.
* The 'Second Class' pass, and then pass MBA, become Administrators and control the 'First Class'...
Mtoto alimwuliza baba yake:
Mtoto: Baba, mama ana nini pale miguu inapoanzia?
Baba: Mama yako, ana MLANGO WA PEPONI
Mtoto: Na wewe, umeficha nini hapo miguu inapoanzia?
Baba: Mimi nina UFUNGUO wa...
Kuna siku itafika kifo kikikuona kitakuwa kinatoka nduki.Hapo hakuna kufa,hata ukijining'iniza kwenye mti na kamba haufi ila cha moto utakiona.Unagongwa na gari haufi.
Siku moja katika familia fulani, baba na mama waliamua kuwauliza watoto wao, je kati yao nani muoga, na mazungumzo yao yalikuwa hivi:
baba: eti wanangu kati ya mimi na mama yenu ni nani muoga...
Ilikuwa ni siku ambayo boss anasafiri kwa ndege asubuhi anajiandaa kuondoka ndipo alipewa taarifa na mlinzi wake kuwa usiku ameota ndege atakaepanda boss imeanguka na hakuna aliyepona ndipo boss...
Jamaa mmoja mpenda kusoma novel alikuwa kitandani usiku na mkewe akipitia moja ya novel, nadhani ilikuwa Famous noise ile. ghafla jamaa akaingiza kidole chake kwenye nyeti za mkewe ndipo mkewe...
Wakubwa naomba mnisaidie kujibu swali hili baada ya mifano michache ifuatayo
anakupenda unampenda kwa hiyo mnapendana
unamheshimu anakuheshimu kwa hiyo mnaheshimiana
anakutii unamtii kwa hiyo...
Duuuhh...!! Dunia hiii... jana Sinza, movie ya bure, ngumi mkononi, jamaa kafumwa akitafuna mke wa mtu, eti watu nao wakamfukuza mwizi wa mke wa mtu na kumpa kipondooo, jamaa nyanga nyanga, katoka...
Inaonekana kuwa sumu aliyopewa balali na mfanyabiashara mwenye asili ya Asia, inawezekana kuwa ni ileile aliyowekewa Mwakyembe, kama ni hivyo basi bado ipo kwenye ghala. Nani atafuata? tutegemee...
Namini asilimia kubwa ya waJF ni wapiganaji walioko mwituni katika nchi yetu hii iliyojaa machungu na mateso kila siku. Kama ingetokea ukapewa nafasi ya kugombea au ya kuwa raisi ungekuja na sera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.